Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
1996 ilikuwaje?
 
Daylight shutting of mp TL, around govt buildings in the morning,at the capital city of tanganyika [emoji1241][emoji24][emoji24][emoji24] MUNGU akawa upande wa Lisu,[emoji24][emoji24][emoji24]
 
KARUME NI TAREHE 7 APRIL, 1972 NA DK OMARY ALLY JUMA NI 4 JULY, 2001, SOKOINE TAREHE 12 APRIL, 1984 HII NDIYO TAARIFA SAHIHI
UKO SAHIHI KABISA ,

MIMI HIO SIKU NAIKUMBUKA VIZURI SANA , NILIKUWA NIKO DARASA LA SABA , siku ya Ijumaa , Redio ikasitisha matangazo yake jioni , ikaanza kututangazia tusitoke na huku ikiimba kwaya za kijeshi , Redio Zanzibar. Tulikuwa tukisikiliza BBC na Redio ya Ethiopia ya Kiswahili . BBC ilisema karume hajulikani ilipo.

Siku ya Jumatatu saa saba mchana , Redio ya Sauti ya Tanzania Zanzibar ikajiunga na na RTD na kutangaza kifo kwenye habari.

Yaani iliyotangaza kifo ni RTD

Sielewi walifanya vile kwa nini
 
Duuuh wakongwe
 
Zanzibar hakukuwa na mtu jasiri kuweza kutangaza
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Mwaka 1972 Rais wa Zbar kwa risasi
 
Ile ajali ilitokea Mbeya alipokwenda kwny janga la Moto pale Soko kuu!
Kosa lile lililosababisha ajali ni la kizembe sana na report yake ipo mpka Civil Aviation Authority!

Mizigo ya Zawadi toka kwa Viongozi wa Chama na Serikal Mkoa waMbeya iliruhusiwa kusafirishwa kwny ndege hiyo hiyo bila ya kupimwa Matokeo yake Mzigo ulikuwa Mkubwa kuliko uzito wa ndege husika!
R.I .P Mbunge wa Zamani wa Tunduru!
RIP ba mkwe
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
2032 nchi itampoteza nani mkubwa?
 
kwa kumbukumbu zangu,yalikuwa ni maonesho ya saba saba mnamo mwaka 2001 ambapo Rais Kabila alialikwa na museveni PLUS viongozi wengine. kama unakumbuka, mwaka huo ndo kipindi majeshi ya Uganda na Rwanda walikuwa vitani nchini DRC.

Kuna issues nyingi za kidiplomasia zilikuwa haziendi vizuri ingawa zilikuwa hazitangazwi na Raia wa kawaida walikuwa hawawezi kujua. ili Congo iweze kuwa na Amani, Museveni hakutakiwa kuwepo kwani ndo alikuwa threat.

hata hivyo, mwaka 2000 majeshi ya uganda na rwanda walishazipiga wakiwa kwenye ardhi ya DRC...na PK alinukuliwa akisema..."kwamba M7 anamdharau, then atamuonyesha kuwa siyo tena bwana mdogo". ndo mpango ulipofanyika wa kumuua M7...na wakatega sumu kwenye Mic! simkumbuki mzungumzaji aliyetangulia...but ilikuwa ni zamu ya Museveni.

wakati M7 anajiandaa kutoa speech, bodyguard wake aliitoa ile mic kwa speed ya RADI na kuchomeka mic nyingine aliyokuwa nayo mfukoni. after speech, akarudishia ile ya awali. aliyefuata kutoa speech akawa DR. Omary ALLI JUMA...picha likaishia hivyo. Ila intelligencia ya tz ni ya kiboya haswa.
.
 
Back
Top Bottom