..utata hauko kwenye kifo cha Dr.Mondlane.
..kuna utata wa jinsi Samora alivyochukua madaraka ya kuongoza Frelimo.
..aliyetakiwa kuchukua nafasi ya Mondlane alikuwa ni makamu wa raisi wa Frelimo akiitwa Uria Simango.
..inasemekana yalifanyika "mapinduzi" ambayo yalimuondoa Simango na kumsimika Samora kama raisi wa Frelimo.
..Uria Simango aliwekwa kizuizini na wenzake na hatimaye yeye na mke wake kuuwawa baada ya kupata uhuru.
..haijulikani kaburi la Uria Simango liko wapi. kuna uvumi kwamba wenzake walimzika Tanzania ktk moja ya makambi yao.
NB:
..Pia kuna mkuu wa majeshi ya Frelimo Fillipe Magaia aliuawa na nafasi yake ndiyo ikachukuliwa Samora Machel.
cc
Jasusi,
Yericko Nyerere