Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Wa kupimwa akili ni mwandishi wa hii habari na mhariri wake,Vincent amekanusha hajazungumza nao.


That being the case hii Vicent napaswa kuwashitaki apate mapesa mingi na regulator wa magazeti natkiwa kufungia hii namna naleta uwongo na uchonganisi ni hatari kwa afya ya watu na taifa!. Siyo musuri kufungia mwanahalisi tu kwa kuwa nasema habari ya ccm na mafisadi. Binadamu wote iko ssawa kwa kuwa hakuna mutu naisi bila damu na hewa!. Ile maumivu lipata mafisadi na walinzi wao kwa kuona wanaambiwa ukweli, ni chini ya maumivu ya innocents wanaposingiziwa !.

Kabla hawajasema, mimi nasema hiii magazeti ikome kumzushia maneno maneno mingi mingi Mwalimu Nyerere ile sisi sote tunaheshimu bila kujali itikadi za kisiasa.
 
Hana mpango huyo Vi senti..., alikuwa wapi siku zote hizo? Anaacha kushughulika na huu uozo uliopo sasa hivi anahangaika na ya kale. Asitake kutafuta umaarufu bure aache Mr. Ben apumzike bwana.
 
KIFO CHA NYERERE NI UTATA, SOMA ZAIDI HAPA


SOURCE: Jamhuri Media
 
Madaraka Nyerere katulia sana. Angeamua kuwa na fujo kama Riziwan, labda mida hii ndo angekuwa prezidaa wetu.
 
Hapa hakuna hoja. Cha msingi Mwalimu alishakufa na amezikwa hapa. Labda ungeleta issue ya utata wa 'kifo ' cha Balali aliyekuwa gavana wa benki kuu ambaye haijulikani alikufa lini na kuzikwa na hata kaburi lake halijulikani liliko labda lipo hewani
 
mkisha jua itawasaidia tabu yenu za maisha ya kila siku kwa walipojua ya arafati yamewasaidia nn wana plo au wapalestina
 
Asante Madaraka kwa kutufahamisha kuwa katika mila za kizanaki mtu afi kwa ugonjwa au uzee. Anakufa kwa mkono wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…