Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Kwa kweli hii naona ni campaign chafu dhidi ya raisi wa awamu ya tatu ambaye hadi sasa wa Tz wengi wanamtamani. Kutafuta sifa ama kusafisha jina si lazima kuchafua wengine.

Hii mambo inasemagwa sana kwenanye makundi makundi ya dini fulani ili kuona tu kwamba raisi wa Kristo wana makosa na hawafai japo ndio walioleta ufanisi mkubwa katika nchi kulinganisa na wale wengine.

Jamani hii ni kitu mbaya. Acheni.

Mwisho mtasema Nyerere alimuua Sophia Kawawa sijui wakati kawawa alikuwa na nini nini ! ACHENI UZUSHI!
 
huyu vincet,anatakiwa akapimwe akili kama ziko sawa,huku ni kutafuta umaarufu wa kipumbavu ambao hauta mpeleka popote,wente akili wenzake wanasimama kuzungumza vitu vya maana kwa Taifa hili yeye anatafuta umarufu kupitia kwa Mwalimu Jk Nyerere(R.I.P)..WE KAMA UNAUSHAHIDI SI UENDE MAHAKAMANI KULIKO UNAITA WAANDISHI KUTOA KASHFA HALAFU UNAWAAMBIA ETI KWA SASA SIWEZI ZUNGUMZA CHOCHOTE..SASA ULIWAITA WAANDISHI WA HABARI WA NINI? WENZIO WENYE BABA YAO MZAZI AKINA MAKONGORO NA MKE WAKE MARIA WAMETULIA TU KWA SABABU WANAJUA UKWELI WW UNALETA UPUMBAVU USIO NAMAANA...YOTE HAYO KISA BEN ALIKUKATA KUWA WEWE SIO FAMILIA YA NYERERE..HAHAHA ACHA SIASA ZA KIPUMBAVU,SIASA ZISIZO NA VISION WALA MASHIKO
 
Mm niliamini hivyo mapema tu kwani che mkapa alishaamua kuuza kila kilichochetu,hivyo alivyoanza na bank yetu kuona Mwalimu anapinga akajua atamsumbua na inawezekana alishirikiana na makaburu kumwondoa mzee wetu ili watuibie kwa uhuru.
 
Habari hii imekanushwa na vincent nyerere.

Nafikiri mwanafamilia mwenzake yupo humu ataleta hilo kanusho,hl gazeti la leo Dira ya mtanzania,toleo no 215,ISSN 1821-641. Kama hajasema kweli Alipeleke kunako mahakama.
Mwandishi sophia yamola.
 
Hili gazeti nalo siku hizi limekuwa la UDAKU kuliko yake ya udaku yenyewe ha!!!!
 
huyu vincet,anatakiwa akapimwe akili kama ziko sawa,huku ni kutafuta umaarufu wa kipumbavu ambao hauta mpeleka popote,wente akili wenzake wanasimama kuzungumza vitu vya maana kwa Taifa hili yeye anatafuta umarufu kupitia kwa Mwalimu Jk Nyerere(R.I.P)..WE KAMA UNAUSHAHIDI SI UENDE MAHAKAMANI KULIKO UNAITA WAANDISHI KUTOA KASHFA HALAFU UNAWAAMBIA ETI KWA SASA SIWEZI ZUNGUMZA CHOCHOTE..SASA ULIWAITA WAANDISHI WA HABARI WA NINI? WENZIO WENYE BABA YAO MZAZI AKINA MAKONGORO NA MKE WAKE MARIA WAMETULIA TU KWA SABABU WANAJUA UKWELI WW UNALETA UPUMBAVU USIO NAMAANA...YOTE HAYO KISA BEN ALIKUKATA KUWA WEWE SIO FAMILIA YA NYERERE..HAHAHA ACHA SIASA ZA KIPUMBAVU,SIASA ZISIZO NA VISION WALA MASHIKO

Wa kupimwa akili ni mwandishi wa hii habari na mhariri wake,Vincent amekanusha hajazungumza nao.
 
Nilikuja kusoma comment ya Yericko Nyerere ila sijaiona akija nami nitakuja
 
Last edited by a moderator:
Siku zote ipo shida pale waliopewa dhamana ya kuongoza wanapopigana vijembe
 
Hivi huyu Vicent Nyerere Kambarage ndio anamuhusu sana au? mbona wenye baba yao wametulia..
 
Hivi kweli mkapa ni wakumuua Nyerere.Ngoja kagasheki aje atupe ukweli manake ndo alikuwa balozi kule london
Hapana. Kagasheki hajawahi kuwa balozi London. Aliyekuwa balozi wakati wa kifo cha Mwalimu ni Shareef. Yuko mambo ya nje.
 
Kwa kweli hii naona ni campaign chafu dhidi ya raisi wa awamu ya tatu ambaye hadi sasa wa Tz wengi wanamtamani. Kutafuta sifa ama kusafisha jina si lazima kuchafua wengine.

Hii mambo inasemagwa sana kwenanye makundi makundi ya dini fulani ili kuona tu kwamba raisi wa Kristo wana makosa na hawafai japo ndio walioleta ufanisi mkubwa katika nchi kulinganisa na wale wengine.

Jamani hii ni kitu mbaya. Acheni.

Mwisho mtasema Nyerere alimuua Sophia Kawawa sijui wakati kawawa alikuwa na nini nini ! ACHENI UZUSHI!

kuumbe Nyerere alimuua Sophia kawawa
 
Hakuna kesi hapo. Nyerere (R.I.P) ameshatangulia mbele ya haki. Hakuna ushahidi.
 
Hi ni siasa tu jamani. Mkapa jeuri yake na ubabe wake mahakimu watakimbia
 
haya tusubiri ila nasikia pombe ndio ilimsababisha mkapa kuwa na muonekano tofauti baada ya Nyerere kunyonya naye kuendelea kulewa tena chaka ile mbaya. tarifaa zilisema mzee alikasirika sana kasema tutaona nani alikuweka kwenye urais naona jmaa labda aliona mzee atamtoa
 
kuumbe Nyerere alimuua Sophia kawawa

Mkuu,, tukiendekeza ujinga hapa jamvini maana ya great thinkers itapotea. Yako mengi ya hovyo hovyo kwa mitaa ambayo great thinker anapaswa kuyatazama visuri, na akiona yako musuri basi nayapa uzito ule nastahili. Habari ya vicent ni yake tu na anatafuta asiyopenda kuyasikia.

Utasikia mara ohh Nyerere sijui Sokoine nini nini!. Mara Sophia, boardguard, nyerere sijui sijui kawawa nini nini!. Mambo mbofu mbofu sana iko kwa vichwa vya watu.

Sasa hapa tunafaa kusema na mutu ile kitu ina mashiko. Siyo hiyo namuna.
 
Back
Top Bottom