Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 80
Wapendwa wana Jamii
Itakumbukwa kwamba mwaka 1995, Kikwete na Lowasa walipingwa kugobea urais na Marehemu Nyerere. Kikwete aliambiwa alikuwa bado mdogo na asubiri na LOWASA aliambiwa ni mchafu na hapaswi kuingia ikulu kwani mahali pale ni patakatifu. Tangu wakati huo watu hawa walikuwa wakijipanga huku wakizingatia kuwa Mwalim Nyerere alikuwa kikwazo kwao kuchukua Nchi
Kutokana na nguvu kubwa ya fedha inyotumika kuujenga tena mtandao huo ndani ya CCM chini ya LOWASA kwa lengo la kuiongia madarakani mwaka 2015, na kutokana na jinsi mtandao huohuo ulivyotumia hela nyngi sana kumwingiza KIKWETE mwaka 2005 na kwa kuzingatia kuwa Mwalim Nyerere hakutaka LOWASA na KIKWETE waingie mahali patakatifu pale magogoni, nashawishika kuamini kwamba Mtandao huo ndiyo uliomwua baba wa Taifa Mwalimu Julius kambarage Nyerere asiwe kikwazo kwa kundi hilo la kimafya
Kumbuka waka ti nyerere akiondoka kwenda uingeleza tuliambiwa anakwenda kupima afya wakati mwenyewe akiwa na siha njema na mara tukaanza kupata taarifa za kubadilika badilia kwa afya yake. Kumbukeni jinsi mtandao huo ulivyo haribu afya ya Mwakyembe, Mwandosya na jinsi unavyomtafuta Dr Slaa
TUUOGOPE NA KUUPINGA MTANDAO HUU KWA NGUVU ZETU ZOTE AMA SIVYO TUTAANGAMIZA VIZAZI VYETU VYA BAADAYE