1. Mkapa alidhani atatawala milele.
2. Alistuka ukiwa umebaki mwezi mmoja kibarua kiishe kwa MPWA wake ERIO William Mkapa hajamweka pazuri, akaamua kumwondoa mkurugenzi Mkuu wa PPF alikuwa mchapa kazi na mwadilifu, akamweka mpwa wake asiye na sifa za uongozi hata kidogo.
3. Huyu mpwa wake akaingia PPF na Roho ya Mkapa, ya kuwaondoa wakurugenzi na mameneja waadilifu ili aibe pesa za michango ya PPF, kama mjomba wake alivyoliibia taifa Kiwira Coal mines. Kila baada ya miaka mitatu anajichotea Tshs 540 milioni, na TISS, CAG, Wizara ya Fedha, SSRA, Ikulu wamekaa kama MAZUZU wanamwangalia avune atakavyo
4. Hofu ni usalama wa wale mameneja aliowafukuza kazi kwa kisingizio cha uana JF asije akawa-Nyerere, kuficha uovu wake.
5. Hivi Mkapa anapomshutumu Vicenti kuwa si wa ukoo wa Nyerere, mbona huyu Erio(DG wa PPF) ni mtoto wa dada yake tumbo moja na anamhesabu kama ni sehemu ya familia ya Mkapa? Kweli damu nzito kuliko maji