dionis nyorobi
Member
- Dec 26, 2011
- 28
- 9
Mtakatifu Nyerere uliombee Taifa la Tanzania kwani wayaona yote yanayotokea na kama waona kuna ombwe la uongozi utuombee kwa mungu atusaidie kulikomboa taifa 2015. Amina!
Safi saana kama kweli bmw alimfanyizia huyo mzee maana alikuwa haishi kumtusi mwinyi na alimkataa jmk kwa makusudi ili bmw awe rais yakamkuta mdini saana huyo marehemu jkn
Mtakatifu Nyerere uliombee Taifa la Tanzania kwani wayaona yote yanayotokea na kama waona kuna ombwe la uongozi utuombee kwa mungu atusaidie kulikomboa taifa 2015. Amina!
hakuna ubishi....mkapa anahusika moja kwa moja
Aliwaambia ndugu zake kwanini hatarudi?quote: ''Naondoka najua sintarudi, lakini Watanzania watalia sana'' Maneno ya Nyerere Uwanja wa ndege DIA. Je alijuaje kuwa hatarudi?
Jiulize.
Maneno mazito sana haya kutoka kwa kiongozi aliyejitolea kulikomboa Taifa lake.
Hivi Mkapa kwanini ulimuua Nyerere in the first place wewe ulifikiri utatawala milele.
Mungu atakulipa hapa hapa kuna siku utatembelea crutches hadi kifo chako.
Hata Marehemu Muhamad!!??......Porojo nyingi. Nyerere kaondoka Tanzania huku anakwenda Uingereza kaaga mwenyewe na alishajulikana kuwa ana upungufu wa kinga mwilini kutokana na saratani ya damu. Nini cha ajabu? au yeye alitakiwa asiumwe wala asife?
Msituletee uzushi humu. "dead men don't count".
Hata Marehemu Muhamad!!??......
If that is the case kwa nini tumswalie mtume!!....Hata marehemu Papa paulo!
tumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/
bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?
tusumbue bongo zetu zaidi kwa kujiuliza nani alikua waziri wa afya wakati huo? nani alikua waziri wa mambo ya nje? nani alikua waziri wa fedha? nani alikua balozi wetu uingereza? nani alikua mkuu wa Tiss? hawa wote na wengine ambao sikutaja wanapaswa kuhojiwa walifahamu nini na walifanya jitihada gani Mwalimu kupata matibabu yaliyotakiwa... hii ngoma bado ni mbichi.hiki kifo cha mwalimu kimeficha mengi sana...na kwa wale wanaofahamu wengi hawasemi......ninyi watanznai muulizen mkapa maswali haya:
1. kwa nini mkapa alimpiga marufuku daktari wake Mtanzania asimsogelee mwalimu wakati akiwa hosptali?
2. ni kwa nini serikali iliamua kumpeleka London wakati walijua kuwa Uingereza haikuwa na uwezo wakati huo kutibu leukemia, kama kweli leukemia ndio uliomsumbua Mwalimu?
3. Kwa nini daktari wake hakushauri apelekwe New York kwa yule daktari aliyempima Mwalimu 1998?
4. kwa nini walipomfikisha london hawakumpeleka hosp moja kwa moja bada yake wakamuweka mwalimu hotelini hadi alipozimia ndo wakampeleka hosp?
5. Kwa nini alipelekwa hospitali ya St. Thomas ambayo ni general hospital isiyo specialize na magonjwa maalumu?
6. kwa nini hakuwekwa chumba maalumu akawekwa tu eneo wazi la wagonjwa wote?
kuna siri nzito juu ya kifo hiki....
mkuu ingawa huwa sikubaliani na mtazamo wako uliojikita ktk harakati za udini nakubaliana na wewe kwamba Mkapa aliua wananchi wa Pemba kwa maslahi ya chama chake wala siyo maslahi ya nchi! Wananchi hao waliokua wanadai haki zao halali damu yao itamlilia Mkapa, Salmini, Mahita na wenzao wote walioshiriki ktk kadhia hiyo. Nasikia Salmini alipofuka baada ya kuondoka madarakani!Mkapa kuumua nyerere siyo ajabu maana alianza kula damu za watu 1998 waislamu- mwembechai, 1999-nyerere, 2001 alivunja rekodi kwa kuwaua wana CUF 45 wasio na silaha..
If that is the case kwa nini tumswalie mtume!!....