hiki kifo cha mwalimu kimeficha mengi sana...na kwa wale wanaofahamu wengi hawasemi......ninyi watanznai muulizen mkapa maswali haya:
1. kwa nini mkapa alimpiga marufuku daktari wake Mtanzania asimsogelee mwalimu wakati akiwa hosptali?
2. ni kwa nini serikali iliamua kumpeleka London wakati walijua kuwa Uingereza haikuwa na uwezo wakati huo kutibu leukemia, kama kweli leukemia ndio uliomsumbua Mwalimu?
3. Kwa nini daktari wake hakushauri apelekwe New York kwa yule daktari aliyempima Mwalimu 1998?
4. kwa nini walipomfikisha london hawakumpeleka hosp moja kwa moja bada yake wakamuweka mwalimu hotelini hadi alipozimia ndo wakampeleka hosp?
5. Kwa nini alipelekwa hospitali ya St. Thomas ambayo ni general hospital isiyo specialize na magonjwa maalumu?
6. kwa nini hakuwekwa chumba maalumu akawekwa tu eneo wazi la wagonjwa wote?
kuna siri nzito juu ya kifo hiki....
kaka nasikia kuna ripotim uliitoa last week..irudishe..wengine hatukuiona na kuisoma.....