Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

tufike mahali tibadili mwelekeo wa siasa zetu. We cant always bank on conspiracy theories. Umaarufu wa kisiasa sasa uje kwa kutegemea utawasaidiaje watanzania kuondokana na umaskini na utawaleteaje maendeleo. Kuumbuana kisiasa tumefanya sana we now need a different tune. Mambo ya siokoine aliuwawa, ooh xy kapewa sumu, ooh bcd amelogwa haitusaidii na tumechoka.

wameanzisha wenyewe ccm kuumbua sasa nao yamewafika ! Ngumi kwa ngumi
 
kwa hiyo?

Wewe fisadi nani kakuambia anatafuta chiep popularity ( kuna ambalo chadema waliwahi kusema kuhusu mafisadi likawa uongo!!!)
1.walitangaza mafisadi pale jangwani ---mbona mafisadi hawajaenda mahakamani?
2. walisema mengi kuhusu mafisadi mbona mafisadi hawaendi mahakamani?
3.wamesema hirizimoja anautajiri uliopitiliza mbona haendi mahakamani?
4 Etc etc mbona hawaendi mahakamani


>>>akili zako changanya na zakee<<<<

 
Kwa wanaojua kinachoendelea kwa swala la Baba wa Taifa Kanisani,haya ya nani kamuua Mwalimu kinachopaswa kufanyika ni confession nakisha kila mtu kuendea sawa na maisha yake.Kwa kuwa kuna Watanzania na Wanafamilia wana amini kuwa mwalimu hakufa kifo cha kwaida [Natural death].

Kama kuna Mtu anaitajika kutubu atubu vinginevyo madhara yake nimakubwa sana kwa kuwa imani ujenga.Wanaoamini Mwalimu aliuawa na kuna Mtanzania naye anatuhumiwa kujua kifo hicho basi ni vyema kuconfesse ufahamu wake juu ya swala zima hata kama kuna wageni walimzidi kete aseme kwa kuwa tunajua Tanzania ni Taifa andamwa kwa kuwa lina madini na malighafi nyingi na wajanja wa dunia wanajua njia nyepesi ya kuja kuchukua ni kuwaondoa walinzi wakuu wa maliasili hzio kisha unapatikana uchocholo wa kuchota.

Kuna baadhi ya wananchi wanajua hata baadhi ya viongozi wanavyoingizwa kwenye mitego bila kujijua [Brackmail] kisha wanabaki kuwa watumwa wa mawakala wa wezi wageni ambao wamengineer issue nzima ya kumuingiza kiongozi matatizoni,na kwa kuwa viongozi ni watu wasio na tabia ya kusema wazi basi wanabaki kufuata maagizo ya mablackmail, Je wataishi chini ya kivuli cha blackmail mpaka lini,hatimae ukweli lazima ujulikane tu.Je wangesema jamani kuwa fulani kanilubuni hakika uku mbeleni ingemletea mtu heshima,kulubuniwa ni udhaifu wa kibinadamu sio dhambi,japo utahukumiwa na umma lakini ukweli utafahamika.

Si ajabu maskini Mzee BWM alikuja kuonyeshwa document za kampuni zenye address ya IKULU pasipo yeye kujua nani kafanya biashara ikulu?Mungu alimuuliza adamu huko wapi, adamu kwa aibu akaitika rabeka Mungu niko huku !! umefanya nini !! akasema ni huyu mdada ulienipa ndie ndie ndie!!!!!!!!!!.

Toba itamuweka mt huru daima yeye na kizazi chake na kupitia toba Mungu anafungua milango ya ukweli kufahamika.Ukweli ucheleweshwa lakini hafungwi daima bali ujifungua kutoka kwenye uongo daima.
 
Hii hoja inachangiaje katika kuinua uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla???
na walalahoi waliokufa nyakati za Migomo ya Madaktari nani awajibishwe/alaumiwe,
KIKWETE au Waziri Mkuu/waziri wa Afya au nani..???? wale ambao hawana
ndugu wabunge watasemewa na nani??

leteni hoja za kusaidia watanzania kupunguza ugumu na makali ya maisha!

"I STAND TO BE CORRECTED"
 
Wewe fisadi nani kakuambia anatafuta chiep popularity ( kuna ambalo chadema waliwahi kusema kuhusu mafisadi likawa uongo!!!)
1.walitangaza mafisadi pale jangwani ---mbona mafisadi hawajaenda mahakamani?
2. walisema mengi kuhusu mafisadi mbona mafisadi hawaendi mahakamani?
3.wamesema hirizimoja anautajiri uliopitiliza mbona haendi mahakamani?
4 Etc etc mbona hawaendi mahakamani


>>>akili zako changanya na zakee<<<<

mbona umeni nukuu mimi. Mkapa muuaji. M-quote huyo anayemtetea
 
yaani Mwl amekufa sijapata muda hata wa kumuuliza kuhusu kifo cha Sokoine kweli imeniuma
 
Kweli hii ndo bongo. Tumekuwa tukiambiwa hapa kuwa mwalimu alienda Uingereza akiwa mzima wa afya na kurudi marehemu. Leo tunaambiwa alikuwa taabani kabla hata hajaondoka. Aisee!

Mkuu, nadhani ulikuwa hujazaliwa, vinginevyo ungemuona akitembea mwenyewe kwenda kupanda ndege kuelekea Uingereza. Hakwenda kwa machela wala kwa msaada wa kushikiliwa na mtu!!!
Kwa hiyo alikuwa anaumwa lakini hakuwa taabani.
 
Walikula ya Kenge sasa wanaanza kulia. Kaza uzi mwanangu Vicenti mpaka kieleweke
 
Mambo ya siasa za maji taka haya! Tumuache Nyerere apumzike kwa amani. Tumeamua kuvuana nguo na kutukanana kama ndio standard ya siasa za leo za Tanzania. Hakika tutaanza kuvuna tunayopanda.
.......tutavuna mara ngapi? Ebo!!! kapanda mkapa, tena kwa mvua za mwanzo tu, zile za kupandia, sasa hivi tunavuna alichopanda, ambacho ndio hiki,.... akhhh mnanikumbusha Jenerali Kombe jamani,
 
hivi vijimambo bana. watoto wake wa damu na mke wake mbona wako kimya wa pembeni ndio wanaongea

Yaani wewe ndiyo unazima moto kwa Petrol kabisa...u better keep quite...mtazidi kusababisha matatizo makubwa...kwa tunaopenda kujichanganya vijiweni hili suala limeibua hasira sana kwa wananchi dhidi ya CCM na Serikali yake...hata mwenyewe binafsi naomba liachwe maadamu Mwl hatuko naye tena basi...
 
NN Baba wa taifa Mwisho Tutawauliza na kolimba yuko wapi.
 
hiki kifo cha mwalimu kimeficha mengi sana...na kwa wale wanaofahamu wengi hawasemi......ninyi watanznai muulizen mkapa maswali haya:

1. kwa nini mkapa alimpiga marufuku daktari wake Mtanzania asimsogelee mwalimu wakati akiwa hosptali?

2. ni kwa nini serikali iliamua kumpeleka London wakati walijua kuwa Uingereza haikuwa na uwezo wakati huo kutibu leukemia, kama kweli leukemia ndio uliomsumbua Mwalimu?


3. Kwa nini daktari wake hakushauri apelekwe New York kwa yule daktari aliyempima Mwalimu 1998?

4. kwa nini walipomfikisha london hawakumpeleka hosp moja kwa moja bada yake wakamuweka mwalimu hotelini hadi alipozimia ndo wakampeleka hosp?


5. Kwa nini alipelekwa hospitali ya St. Thomas ambayo ni general hospital isiyo specialize na magonjwa maalumu?

6. kwa nini hakuwekwa chumba maalumu akawekwa tu eneo wazi la wagonjwa wote?


kuna siri nzito juu ya kifo hiki....
 
Back
Top Bottom