Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Safi saana kama kweli bmw alimfanyizia huyo mzee maana alikuwa haishi kumtusi mwinyi na alimkataa jmk kwa makusudi ili bmw awe rais yakamkuta mdini saana huyo marehemu jkn
Toa element za udini hapa.
 
Ni kweli Mwalimu alikuwa na maumivu makali sana kwa sababu alikuwa na Saratani ya Damu tangu kabla ya mwaka 1989. Kama kifo chake kinatokana na kutopelekwa kwa wakati kwenda kutibiwa hilo ndilo la kujadiliana kwani Mwaka 1989 alipelekwe Uingereza na kufanyiwa Operesheni kuondoa sehemu iliyoshambuliwa na Kansa.

Usijiingize kichwa kichwa kwenye mambo usiyoyajua. mara alikuwa na saratani ya damu mara alifanyiwa operation kuondoa sehemu iliyoshambuliwa na kansa wewe unaweza kuondoa sehemu ya damu wewe. Mbona mmekaa tayari kujibu kila hoja bila hata kufikiria mnakuwa kama mashetani bwana. kha!!
 
Ni kuendelea kufichua yaliyokuwa yamejificha.


....ili iweje... The man is heavenly resting in peace....
Ni sawa na kusukuma ukuta....
It makes n will never make a difference....
 
Mambo ya siasa za maji taka haya! Tumuache Nyerere apumzike kwa amani. Tumeamua kuvuana nguo na kutukanana kama ndio standard ya siasa za leo za Tanzania. Hakika tutaanza kuvuna tunayopanda.

Mkuu Ndahani au hata kuvunishwa ambayo hatukuyapanda sisi
 
Sitaki kuamini kama ni watu wa CDM ndo wanauleta uchafu kama huu sasa eti kama silaha ya kisiasa....
Jitambulisheni nyie ni nani....
CCM mnakazi kweli kweli. yaani mmejiandaa kupinga kila kitu au ndio mnafuata maelekezo ya mwenyekiti wenu ya kujibu mashambulizi. yaani mnapinga kila kitu, soon mtapinga Jina lenu. Mbona CDM hawapingi kwamba DR SLAA alikuwa Padri? mnajiaribia sana kupambana na ukweli
 
Ignoring this, is like keeping yourself blind to the shinng sky


.....ndo maana taifa hili maendeleo kuja ni kama ndoto ya kuzimu....twatumia muda wetu kujadili vitu abstract...hypothetical past ambayo ni very useless....
I quit...
 
Hebu twambie kwa undani kuna tatizo gani hizi habari kuletwa sasa? Je zingekuwa zimeletwa mapema zingesaidia nini kama unaona zilizotoka sasa hivi hazisaidii kitu?

Tiba

Halafu anasema "Tumechoka" sijui wako na nani waliochoka teh teh teh!
 
Hebu twambie kwa undani kuna tatizo gani hizi habari kuletwa sasa? Je zingekuwa zimeletwa mapema zingesaidia nini kama unaona zilizotoka sasa hivi hazisaidii kitu?

Tiba

Hakika kuwahi au kuchelewa kutolewa kwa habari hizi sio issue, issue ni je zina ukweli ndani yake, mpaka kieleweke... itafika viongozi watapima kauli zao kabla ya kuzitoa, lazima wajue hawaongozi mbumbumbu tena na wala wao kuwa viongozi basi ruksa kuropoka ujinga majukwaani
 
Ni miaka mingi imepita tangu Mwalimu alipofariki bila hoja za namna hii kuibuka. Iweje kampeni za Jimbo la Arumeru mashariki ndiyo iwe chanzo? Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani....amina.
wapigania uhuru waliouwa kenya wakati wa vita vya maumau walilipwa fidia zao miaka kama miwili iliyopita. Nyerere kafa miaka 12 iliyopita.
 

Mwalimu akakataa kata kata, akasema; "
kama hawataki... hawa hawataki kunitibu niache nifie hapa hapa nyumbani kwangu". Gachuma alimbembeleza sana, lakini Mwalimu alikataa,” amesema ndugu huyo.

Maneno mazito sana haya kutoka kwa kiongozi aliyejitolea kulikomboa Taifa lake.
Hivi Mkapa kwanini ulimuua Nyerere in the first place wewe ulifikiri utatawala milele.
Mungu atakulipa hapa hapa kuna siku utatembelea crutches hadi kifo chako.
 
unamsema mkapa hapo, mtaje tu, usiseme some politicians
 
Wewe ndiye uliyechoka sio wote hujiulizi mbona watu wanaongelea kina Mkwawa, Kwame Nkrumah, George Washington waliokufa zamani kwanini tusizungumzie Nyerere aliyekufa just 10 years ago.

hujaelewa mantiki ya maelezo yangu wewe

Nyerere atabaki kuwa nyerere na ataendelea kukumbukwa kwenye historia ya tanzania kama walivyo wengine lakini kuanza kuanzisha maada zisizo na maana au matinki haina sababa, na wala haitokuja kuandikwa kwa gazete au vitabu vya historia kuwa Mkapa ndo alisababisha kifo cha nyerere
 
Vicent anatafuta "cheap popularity", hana lolote huyo.
 
Kama shida ilianza tangu enzi hizo hapa Mkapa anaingiaje kwa kubeba zigo lote la dhambi?
Anayekutwa na ngozi ndiye muuaji Mkapa alikuwa na kila uwezo wa kumuhudumia Nyerere lakini alipuuzia, upuuzi wake ndio watu wanaouhoji alikuwa na nia gani na maisha ya mwasisi wa taifa hili? Hata mimi nitahoji kwa sababu Nyerere ananihusu zaidi ya Kikwete.
 
naamini hadi 2015 yatakuwepo mambo mengi sana zaid ya haya
 
Back
Top Bottom