Zemu
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 518
- 81
eheeee, jimovie ndo limeanza, ukiona simba kanyeshewa na mvua usiseme paka, mzee mkapa lazima anajua maana ya kile alichofanya maana baada mwalimu kufa tu balaa la ufisadi na kuuza nchi vikaanza yaani maana yake ni kuwa kikwazo kimeng'oka au kuondoka.Amwagae damu nae yake lazima imwagike tu.