Aliyekufa amekufa. Vifo vyenye utata vipo vingi, na roho zote zina value sawa mbele za Mungu. Wapi Wangwe, wapi Mtikila, wapi Mvungi, wapi Kombe, wapi Chifupa, wapi sokoine, wapi mwalimu? Dunia mapito, anayehusika kama yupo basi yeye pia zamu yake itafika. Tugange yajayo.
Kuna taarifa za msiba wa Leticia Madaraka Nyerere kwenye magroup ya whatsapp, naomba Invisiblepay au Moderator mjaribu kuihakiki taarifa hiyo, kama sio kweli please nitashukuru kwa feedback ili na hii tufiute isije kuleta usumbufu
Yaliyo mkuta nyerere yanafanana na Lowassa ingawa lowassa aliwahi mapema kuiokoa afya yake, kwani sababu kubwa inajulikana wazi Nyerere angeunga mkono Upinzani Mwaka 2000 baada ya kuona chama chake kiko tofauti na anacho simamia.
Lowassa naye ndivyo hivyo, iligundulika anafadhili upinzani ili akikatwa ahamie upinzani, ndiyo chanzo cha afya yake kuwa vile.
Julius Kambarage Nyerere ameongea na watanzania wote na dunia kwa ujumla kupitia Azimio la Arusha. Hata haya anayofanya JPM hayajagusa hata 25% ya Azimio lile. Hizi mbwembwe nyingine hazina lolote la ziada hivyo la Maana kwetu ni kuzidi kumuombea Kambarage ili aepukane na adhabu ya milele.
Hao waTanzania walio pata pa kuanzia ni akina nani?
Usitake kuchezea akili za watu unajua kabisa hii issue imeongewa mara kibao nyie mnaojiita WaTanzania mmeshawahi kufanya nn tangu 1999.....au ndo mnatafuta wa kupeleka Mapwepande?? kwa sababu zisisizo na Kichwa wala Miguu.
"ni vigumu sana kuipoteza damu ya walio haki"