Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Aisee hii thread ndiyo naiona leo
 
Reactions: SDG
nikimuangalia mandela up to 90+ na aliish gerezan kwenye mateso muda mrefu, kwa waliokua karibu na serikal please niambieni what happened kwa huyu baba yetu wa taifa.

Rest in peace our lovely J.K Nyerere
Kuna watu walifaidika kwa kifo cha Mwalimu. Ila kutaka kujua kilichomsibu tafuta njia uwasiliane na aliyekuwa Daktari wake Profesa David Mwakyusa.
 
Reactions: SDG
Profesa Mwakyusa si daktari wa saratani.Asingeweza kumtibu baba wa taifa.
 
Reactions: SDG
Acheni kufukua haya makaburi ,Dunia hii imebeba mengi ,
 
Reactions: SDG
There must be a hidden trueth behind the death of our beloved Mwl JK Nyerere.
 
Reactions: SDG
Balile, duh, Jamhuri,,
 
Ukikuwa wapi siku zote hizo mi nilingoja sana hili nilishangaa watu unaowapinga na kuwa ondoa utaendaje kutaka wakufanye uwe na afya bora?! Si ungewafirisi zaidi ukiwa na afya sasa!
Ningependa kufahamu ni hoja zipi zilizopendekezwa na nani mpaka ikapelekea mwalimu kwenda uingereza matibabu na sio kwingineko?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…