Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

oooh makaburi haya
 
Hakuna cha mkono wa chinga wala nini huo ni uzushi tu alifariki kifo cha kawaida kama binadamu wengine !! Hayo maneno yenu ya vijiweni kwenye kahawa hayana research na hayana evidence ni ya kupuuza.. Rip baba wa taifa.
medical chekup then drastically pronounced dead seriously? smh
 
TUNA HAKI YA KUJUA KILICHOPELEKEA KIFO CHA BABA WA TAIFA !!!!
 
Uzuri wa Watanzania ukiwachokoza tu...watakufunulia mabaya yako yote. Hata kama ulikuwa na mpenzi chizi tutajua! Hahahahaaa!
 
..walimwua mwalimu ili waue azimio la arusha na waweze kuuza nchi...wakianza na kugawa madini yetu kwa walowezi...alafu leo kwa unafiki wao wanajifanya kuumia sisi kuibiwa madini....waanze kujihoji wao kwanza....wao ndio waliuza nchi hii kwa wezi wa kigeni baada ya mwalimu kufa...they know everything...
 
Kwa tamthilia hii mwl Nyerere atafufuka au mwandishi ameamua kutonesha vidonda vya ndugu wa marehemu!!
 
wakati mwingine kufukua makaburi ni vizuri zaidi ili mpate uhakika huenda mlizika mgomba haaaa,haaaa kama namuona yule Jambazi kuu Kubwa LA maadui Nyoka makengeza uwiiii now Kakalia kiti cha maamuzi ktk ule mhilimili cjui mtamuweza na Bunge lijalo ndo Anakuwa mkuu kamili maana huyu Jamaa angu Afya yake imekuwa mgogoro sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…