Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Mkapa, Dah! Simuelewi. Kweli tumuache hivi hivi pamoja na uovu wote huu. No, something must be done
 
Hivi mkuu unajua kwamba zipo sumu za aina nyingi sana zinazoweza kuleta slow death.Ya Arafat unayakumbuka?
 
Nyerere kafariki mimi bado ni mtoto mdogo.
Ebu ngoja nikae chonjo na mimi nijue A, B, C,......
Tupo wengi nakumbuka nilikuwa nawasikia wakubwa wakisema Baba wataifa nyerere amefariki nikawa nashangaa maana hata maana halisi yakufariki nilikuwa siijui,zaidi yakuambia fulani kachukuliwa nakunguru
 
Kwa hiyo Israel mtoa roho alipitia kwa nzee uwazi Kutoa roho ya Mwl. Nyerere

Mwl Nyerere, wali mu-Yuda Iskarioti ili wapate maliasili zetu eeeeehh !

Au Mimi , hii mada sielewi maana comments na mada vinachanganya,

Mara , tuambiwe kifo, mara mimi ni ukoo.

Mwingine , msajili wa vyama ooooh ooooh, nzee ya uwazi,

Tena madaktari Dr. David , tena. Malima naona gachuma tena walimu wa mwalimu wanajua.

Yaani hata sielewi aiseee.

Naomba majibu duuuuuuh.
 
Nenda shule kwanza
 
Ha! Ha! Ha! Karibu sana kijana .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya Makaburi mara nyingi huwa tunayakimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…