Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

Inashangaza ss kuna watu wanapenda kiasi kwamba wapo tayari kufanya lolote ili wapate hayo mamlaka makuu..

Hata ukiangalia kwenye vitabu vya Mungu...wale waliokuwa wanapenda madaraka ya juu walikuwa na mwisho mbaya, madaraka sio mazuri.
Duuh uzi umeunganishwa wakuu
 
Post 524 hapo juu mdau ameweka link ya UTATA WA KIFO CHA DR. OMARI ALI
Huo uzi watu walifunguka sana, ingia uusome
Sawa ngoja nimalize huu kwanza maana mambo ni mazito mno na yanasikitisha sana.
 
Duuuuh, muosha huoshwa.
1999-2020.
 
Hizo zote porojo, Nyerere alipandan ndege mwenyewe, hakupelekwa na mtu kwenye matibabu, wadanganye wengine siyo humu JF, tupo tuliokuwepo wakati huo.


Nyerere mwaka mmoja kabla ya kwenda kwenye matibabu, kwenye birthday yake, alimkufuru Mungu, mwaka uliofatia akaoneshwa nani mwenye maamuzi uishi au usiishi.
 
Alikufuruje asee tujuze
 
Alisema mama yske ana miakan100, yeye haoni sababu kwanini asifike huko.


Birthday ya mwaka uliofatia, alioumwa akabadili kauli na kunukuu yale makumi ya kwenye biblia, too late.
Dada Faiza unaamini sana ushirikina?. Unajua hayo aliyosema yalikuwa na nia gani?. Kumbuka Mungu anaangalia kilicho moyoni mwa mtu tofauti na sisi binadamu.
 
Hujui ukisemacho bi Faiza fox
 
Alisema mama yske ana miakan100, yeye haoni sababu kwanini asifike huko.


Birthday ya mwaka uliofatia, alioumwa akabadili kauli na kunukuu yale makumi ya kwenye biblia, too late.
Una Chuki sana na Wagalatia
 
Alisema mama yske ana miakan100, yeye haoni sababu kwanini asifike huko.


Birthday ya mwaka uliofatia, alioumwa akabadili kauli na kunukuu yale makumi ya kwenye biblia, too late.
Hayo ya kukufuru ni kati yake na MUNGU. Kuhitimisha umeingilia sehemu ambayo si sehemu yako.

Mara nyingi tu binadamu wanakuwa na matumaini kuwa wataishi miaka mingi.
 
Nyerere alikuwa muovu alilipia maumivu aliyoletea watu kwa maumivu ya Kansa.mwinyi anadunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…