Wamagamba si nyie wenyewe ndio mlioanzisha vita ya mawe wakati mnaishi kwenye majumba ya vioo, subirini 'tuwanyoe na kuwakarabati' vilivyo .............jino kwa meno!!!1
Ni kweli Mwalimu alikuwa na maumivu makali sana kwa sababu alikuwa na Saratani ya Damu tangu kabla ya mwaka 1989. Kama kifo chake kinatokana na kutopelekwa kwa wakati kwenda kutibiwa hilo ndilo la kujadiliana kwani Mwaka 1989 alipelekwe Uingereza na kufanyiwa Operesheni kuondoa sehemu iliyoshambuliwa na Kansa.
Wewe ndiye uliyechoka sio wote hujiulizi mbona watu wanaongelea kina Mkwawa, Kwame Nkrumah, George Washington waliokufa zamani kwanini tusizungumzie Nyerere aliyekufa just 10 years ago.tumechoka na habari hizi, sasa walikuwa wapi kusema hayo enzi hizo wanasema leo wakati Nyerere amefariki, inasaidia nini sasa??? Nyerere ndo atafufuka??/
bongo bana watu wanajitafutia umaarufu kwa vitu vya ajabu ajabu sana?? wangetoa taarifa hizo mapema not now?
mwalimu died sometimes ago some plitician now use his dealth as capital for their political advancement. why? cause they dont have material speech to tell us! Lala pema mwalimu kama kweli ua la wamekosa adabu hawa, one cant talk like that to our mwalimu jaman. Shame on YOU!
Shame on Mkapa.mwalimu died sometimes ago some plitician now use his dealth as capital for their political advancement. why? cause they dont have material speech to tell us! Lala pema mwalimu kama kweli ua la wamekosa adabu hawa, one cant talk like that to our mwalimu jaman. Shame on YOU!
Ni miaka mingi imepita tangu Mwalimu alipofariki bila hoja za namna hii kuibuka. Iweje kampeni za Jimbo la Arumeru mashariki ndiyo iwe chanzo? Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani....amina.
Hebu twambie kwa undani kuna tatizo gani hizi habari kuletwa sasa? Je zingekuwa zimeletwa mapema zingesaidia nini kama unaona zilizotoka sasa hivi hazisaidii kitu?
Tiba
Mkapa alipewa heshima ya kuwa mstaafu akaikataa, bado anapenda siasa na vijana akidhani bado enzi za ubabe zinaishi. Sasa anaambulia aibu ili liwe fundisho kwake na kwa wengine wanaotaka kulinda maslahi zao binafsi kwa kutukana wengine. Angejikalia Lushoto nani angeibua hayo?. Nina hakika mkapa hatapanda tena jukwaani kumnadi yeyote baada ya hili!Safi saana kama kweli bmw alimfanyizia huyo mzee maana alikuwa haishi kumtusi mwinyi na alimkataa jmk kwa makusudi ili bmw awe rais yakamkuta mdini saana huyo marehemu jkn