Kivipi mkuu?Ninyi ndio huwa mnapenda kuficha majibu chuoni ili uwe wa kwanza kama vile wa secondary au primary
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu ukute pia macho yako yalikudanganya,maana njaa bwana inatabia ya kutamani vikubwa.
Hiyo ingeweza kuwa tofauti.... Ile anashuka tu na gari ina ondoka, ile unaanza kuikaribia ghafla imeokotwa hapo ndo utajua chocho zote za kufika unapo kwenda...simpo ungetokea dirishani ukapanda gari jingine, net profit ingekua 2000-400=1600 kubwa sana hiyo mkuu vyuma vimekaza
hahahahaHiyo ingeweza kuwa tofauti.... Ile anashuka tu na gari ina ondoka, ile unaanza kuikaribia ghafla imeokotwa hapo ndo utajua chocho zote za kufika unapo kwenda...
[emoji23][emoji28][emoji23]Ningeruka.
Kuna siku nilimpa konda mia tano akasahau kunipa mia yangu nikashuka gari ikaondoka.
Nilivyokumbuka nikakamata boda fasta kuikimbiz gari.
Boda boda nikampa buku jero konda akanipa mia yangu.
Badae nilijiona mjjinga sana
kwenye mataa round about!!! [emoji20]Nilikuwa ndani ya hice, tukawa tumesimama kwenye mataa round about, nilikuwa seat ya mwisho dirishani, ghafla kutazama mbele kidogo pembezoni mwa barabara, kulikuwa na elf 2, ndani ya hice watu wamejaa sana, nimeshindwa kumwambia mtu yeyote mpaka tukaondoka.
Je, ungekuwa wewe ungefanyaje na home au getho una elf 1 tu ya tahadhari?
Duuuuhhh heshima yakoNingeruka.
Kuna siku nilimpa konda mia tano akasahau kunipa mia yangu nikashuka gari ikaondoka.
Nilivyokumbuka nikakamata boda fasta kuikimbiz gari.
Boda boda nikampa buku jero konda akanipa mia yangu.
Badae nilijiona mjjinga sana
Ilikuwa jero nini?Hela hizi!!, zinasababisha tuamue maamuzi ya ajabu!
Nilikuwa nakojoa kwenye choo cha umma, nauli ikadondoka kutoka kwenye mfuko wa shati, kwa sababu hela ilikuwa ni hiyohiyo tu, nikaingiza mkono kwenye mfereji wa mkojo kuitafuta, mkono wa kushoto nikaona unanichelewesha, nikaingiza mkono wa kulia kuanzia mwanzo wa mfereji hadi mwisho wa mfereji, sikuiona.
Siku hiyo nilitembea kwa miguu kutoka Posta mpaka Kiwalani!
Mia hamsini, kipindi hicho nauli ni mia hamsini!Ilikuwa jero nini?