Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Buku mbili Kitu gani bhana unapotezea tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaNingeruka.
Kuna siku nilimpa konda mia tano akasahau kunipa mia yangu nikashuka gari ikaondoka.
Nilivyokumbuka nikakamata boda fasta kuikimbiz gari.
Boda boda nikampa buku jero konda akanipa mia yangu.
Badae nilijiona mjjinga sana
hahaaaa manina ..daahh ningekuwa ndiye mimi nisingetembea umbali wote huo khaaaa ...simple tu ningemfuta konda ningeongea nae kiume aiseeee ..ninge mwambia kwalugha ya busara kabisa..kuwa mkuu nimeibiwa wallet ilikuwa na Pesa na baadhi ya documents zangu ..tafafhali naomba unisaidie nifike kiwalani maana hapa nilipo sina hata mia..so huwa hawakatai maana kama ulikuwa upo msafi msafi huwa wnaamini kweli umefkwa na matatizoHela hizi!!, zinasababisha tuamue maamuzi ya ajabu!
Nilikuwa nakojoa kwenye choo cha umma, nauli ikadondoka kutoka kwenye mfuko wa shati, kwa sababu hela ilikuwa ni hiyohiyo tu, nikaingiza mkono kwenye mfereji wa mkojo kuitafuta, mkono wa kushoto nikaona unanichelewesha, nikaingiza mkono wa kulia kuanzia mwanzo wa mfereji hadi mwisho wa mfereji, sikuiona.
Siku hiyo nilitembea kwa miguu kutoka Posta mpaka Kiwalani!
Na Mungu lazima alikubariki mara miaMimi iliwahi kunitokea ila pembeni kulikua na jamaa muuza maji nikampigia mruzi nikamuonyeshea chini akaikota akatupia jicho kwenye gari akanionyeshea dole gumba na mimi nikamuonyeshea dole gumba tukatabasamu ile nashusha tu mkono chini gari zikaruhusiwa.Hakika nilisikia faraja sana moyoni,nilikua na stress lakini zote ziliisha ghafla na mwili wangu ukawa mwepesi kana kwamba nilibeba mzigo mzito sana halafu nikautua.Jambo hili ni moja katika wema nilioufanya duniani ambao nitaukumbuka katika maisha yangu.Hii ilitokoea mataa ya magomeni upande wa magomeni mikumi usawa wa ile Hotel
Na mikojo ukashika dah!Hela hizi!!, zinasababisha tuamue maamuzi ya ajabu!
Nilikuwa nakojoa kwenye choo cha umma, nauli ikadondoka kutoka kwenye mfuko wa shati, kwa sababu hela ilikuwa ni hiyohiyo tu, nikaingiza mkono kwenye mfereji wa mkojo kuitafuta, mkono wa kushoto nikaona unanichelewesha, nikaingiza mkono wa kulia kuanzia mwanzo wa mfereji hadi mwisho wa mfereji, sikuiona.
Siku hiyo nilitembea kwa miguu kutoka Posta mpaka Kiwalani!
swali gani ili sasa.Nilikuwa ndani ya hiace, tukawa tumesimama kwenye mataa round about, nilikuwa seat ya mwisho dirishani, ghafla kutazama mbele kidogo pembezoni mwa barabara, kulikuwa na elf 2, ndani ya hice watu wamejaa sana, nimeshindwa kumwambia mtu yeyote mpaka tukaondoka.
Je, ungekuwa wewe ungefanyaje na home au getho una elf 1 tu ya tahadhari?
2000 tu inakupa ukichaaNilikuwa ndani ya hiace, tukawa tumesimama kwenye mataa round about, nilikuwa seat ya mwisho dirishani, ghafla kutazama mbele kidogo pembezoni mwa barabara, kulikuwa na elf 2, ndani ya hice watu wamejaa sana, nimeshindwa kumwambia mtu yeyote mpaka tukaondoka.
Je, ungekuwa wewe ungefanyaje na home au getho una elf 1 tu ya tahadhari?
Sana tu na kufanya mambo Kama haya ndio kunaondoa mikosi mwilini na kufungua milango ya baraka maishaniNa Mungu lazima alikubariki mara mia
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]2000 tu inakupa ukichaa
[emoji14]mwenyewe[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
these are simple issues(what iff situations) they are not reallyKama hujawahi kutwa na magumu,Mshukuru Mungu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji14]mwenyewe
[emoji1][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Yani ww[emoji1]
[emoji14]Yani ww
Aya bhana[emoji14]