Nilikua nakaa mitaa fulani toka town mpaka home gari 3 sasa siku hiyo nimeshuka kituo B badala nisubiri gari nyingine nikaamua wahi chukua boda elfu 4 mpaka kituo A kufika nikasubir hiace za kutoka kituo B nilipotoka ambapo nikalipa mia 4 tena kufika home!.
Ile nimetulia ndo nikaona ujinga wangu maana bora ningepanda daladala kituo B inipitishe A ndio nipande boda buku hadi home!..badala ya kutumia 1,400/= nikatumia 4,400/=..