Utata wa maamuzi: Nimeona elfu mbili nje barabarani na mimi niko kwenye hiace

Mimi nilipoteza barabarani ela ndefu naenda kulipa ada niliamua kurudi tu kuanza kutafuta galfa nikasema ngoja nirudi nyuma kumbe kwenye kadimbwi kaliko na vimajani kuangalia pembeni kwenye kidimbwi sio tu ada peke yake nilipata bali wallet kucheck ndani mastercard vitambulisho vingi kama passport mambo kibao ya mzungu.
Sasa ndani imejaa pesa zake nikaona iwe hivi nipeleke kwa mjumbe au nitangaze kwenye visehemu vya home .
Nilikaa siku mbili.
Yule mzungu akaja kwetu akuuliza hela alinishukuru kwani vitu ni salama.
Ila niliona nyota.
Ada nimepata nahela ya ziada hadi raha.
 
Ningeruka.

Kuna siku nilimpa konda mia tano akasahau kunipa mia yangu nikashuka gari ikaondoka.
Nilivyokumbuka nikakamata boda fasta kuikimbiz gari.
Boda boda nikampa buku jero konda akanipa mia yangu.
Badae nilijiona mjjinga sana
hahaaaa
 
hahaaaa manina ..daahh ningekuwa ndiye mimi nisingetembea umbali wote huo khaaaa ...simple tu ningemfuta konda ningeongea nae kiume aiseeee ..ninge mwambia kwalugha ya busara kabisa..kuwa mkuu nimeibiwa wallet ilikuwa na Pesa na baadhi ya documents zangu ..tafafhali naomba unisaidie nifike kiwalani maana hapa nilipo sina hata mia..so huwa hawakatai maana kama ulikuwa upo msafi msafi huwa wnaamini kweli umefkwa na matatizo
 
Na Mungu lazima alikubariki mara mia
 
Na mikojo ukashika dah!
 
swali gani ili sasa.
 
2000 tu inakupa ukichaa
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] Shikamoo Magufuli
 
Kama hujawahi kutwa na magumu,Mshukuru Mungu
these are simple issues(what iff situations) they are not really
you are taking them too seriuos
ni kama yale mafumbo tuliyokua tunaulizana darasa la3.
You are taking life too serious, you will never enjoy the sunshine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…