Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

We bogus unaongea nini?
Ramani hiyo umeweka inaonyesha kila kitu.
Ni nusu kwa nusu.hiyo hapo.
Na Tanzania hawakuwai kupigania ziwa Nyasa.
Tuko Victoria na Tanganyika we unaongelea ziwa Nyasa.
Una ujima mwingi sana.
Ziwa Nyasa linatumika upande wao kwa Tanzania na upande wao Malawi kwa Amani tu.hakuna ugomvi kule.
Swali moja tu tatanishi
Ushawai kufika Mbeya,kyela Matema beach,Njombe,Malawi ukajua kuna nini?
We sijui unaleta ujinga gani, mi nimefika kote huko, hao watu wanaishi kwa amani na upendo enzi zote, hawajawai kupishana.
Hiyo mipaka ni takataka alichora mwingereza na mjerumani.
Burundi na Rwanda ni vimikoa vyetu zamani mpk Zanzibar.
Ni wakoloni walichora tu ramani zao wakatunyanganya.
Soma historia bwa mdogo uko mtupu sana.
 
U
Kala u atakiwa umsome b
Bila shaka mtoa mada ana mafungamano na Zanzibar.
Kaka hapo unatakiwa umsome between the line.. akitoka ya malawi anarudi lileeeeee la nzanzibar kuwa mpaka wa zanzibar na TZ bara uko pwan ya Tz yaan kaanzia mbali kutengeneza cresibility
 
Ushahidi haupo upande wetu. Tanzania haiwezi shinda hii kesi mahakamani. Waingereza na Wajerumani wote wanajua ziwa lipo Nyasa.

Wazungu ndio waliibumba Tanganyika. Kwenye makoloni na mikataba yao ziwa Nyasa lipo Malawi.

Sasa mtu anataka Tanzania tutumie nguvu wakati suala halipo upande wetu. Last time aliyetaka kutumia nguvu kubadilisha mipaka alisababisha vita ya Kagera.

Hayo mambo ya chanzo cha maji kigawanywe katikati ni busara, ila haijaandikwa popote baina ya Malawi na Tanzania. Maandishi yaliyopo ni ya wakoloni na yanaipa Malawi ziwa lote.
 
Hili jambo litaleta shida huko mbeleni. JPM angekuwa mtu sahihi wa kulimaliza.
Sio uyu chura kiziwi mrembo mrembo ..Jk ali jitahidi sana kipindi cha JPM naona waliogopa kwanza waka tulia , wamekuja kuibuka kipindi hiki tena
 
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Msimamo wa Tanganyika kuhusu ziwa Nyasa unajulikana mpaka ni katikati ya ziwa, hakuna mahali tumelalamika kudhulumiwa maana tunajua hivyo na hilo ziwa tunalitumia bila bughudha yoyote........labda hayo malalamiko mnayo huko mchambawima.
 
Hii mipaka ya Kikoloni isitufanye tukatoana roho.
 
Kesi yetu haina tofauti sana na ya Morocco na West Sahara. Imefika hadi ICJ na Morocco akashindwa. Lakini bado anaikalia WS kimabavu. Morocco baada ya kushindwa kesi akaanzisha kampeni ya nguvu ili ajipe uhalali wa kumiliki WS. Ndiyo ziara ya mfalme wao enzi za jiwe.

Kesi haina nguvu kwetu hivyo tusije jaribu kwenda mahakamani. Wakisikilizwa upande mmoja twende kama Morocco, "The strong do what they can, and the weak suffer what they must." Na kampeni nyingi za kihistoria.
 
Sawa ila nilenga kikawaida kuwa makabila yana asili ya mikoa Yao(eneo lao mama) ambalo huenda wakoloni wao waligawanya pasipo kuzingatia eneo la kabila Bali wao walizingatia kugawana Mali..
 
Stupid mind!.
 
Ushahidi mmoja wa kihistoria unaoonyesha kwa nini watanzania tunapaswa kuwa na access na ziwa Nyasa, ni kitendo cha mjerumani kuweka patrol boats kwenye hilo ziwa.
 
I second this.
 
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Kwa hiyo Google map ndio hakimu. Pumbaf
 
Tatizo ni kwamba nyie wachambawima ni wapumbavu tangu kuzaliwa kwenu hadi kufa ndio maana hata sheria za mipaka za kimataifa huwezi kuzielewa huo upumbavu unaoleta hapa katafute mazezeta kama wewe ukawahadithie sio hapa
 
Inabidi uchu
nguzwe uskute ni Yale tulio ambiwa kua watu wanapenyezwa wanakuja raia wa Tanzania kumbe ni raia wa nchi zingne? Mamako wakat anakuzaa ndye alikuonyesha huo mpka ??
 
Ziwa Nyasa linatumika kiuchumi na kiusafirishaji..
Kiuchumi:
-Biashara ya nyavu za kuvulia samaki na dagaa
-Biashara ya mitumbwi
Kuna fishing activities
-Biashara ya hoteli na nyumba za wageni pale ufukweni
Kiusafirishaji:
-Watu wanasafiri kutoka Kyela hadi mbamba Bay kama shortcut badala ya kupanda basi kuzunguka hadi makambako.
-Watu wanasafirisha mizigo yao kwenda Songea,Malawi,Kyela..
Just to mention the few..
Usiseme Ziwa halina maana just kwasababu wewe hulitumii,acha ubinafsi..wanaoishi Kyela Mbamba Bay, Liuli wanajua umuhimu wake.
ACHA UBINAFSI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…