babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
We bogus unaongea nini?
Ramani hiyo umeweka inaonyesha kila kitu.
Ni nusu kwa nusu.hiyo hapo.
Na Tanzania hawakuwai kupigania ziwa Nyasa.
Tuko Victoria na Tanganyika we unaongelea ziwa Nyasa.
Una ujima mwingi sana.
Ziwa Nyasa linatumika upande wao kwa Tanzania na upande wao Malawi kwa Amani tu.hakuna ugomvi kule.
Swali moja tu tatanishi
Ushawai kufika Mbeya,kyela Matema beach,Njombe,Malawi ukajua kuna nini?
We sijui unaleta ujinga gani, mi nimefika kote huko, hao watu wanaishi kwa amani na upendo enzi zote, hawajawai kupishana.
Hiyo mipaka ni takataka alichora mwingereza na mjerumani.
Burundi na Rwanda ni vimikoa vyetu zamani mpk Zanzibar.
Ni wakoloni walichora tu ramani zao wakatunyanganya.
Soma historia bwa mdogo uko mtupu sana.