Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

We bogus unaongea nini?
Ramani hiyo umeweka inaonyesha kila kitu.
Ni nusu kwa nusu.hiyo hapo.
Na Tanzania hawakuwai kupigania ziwa Nyasa.
Tuko Victoria na Tanganyika we unaongelea ziwa Nyasa.
Una ujima mwingi sana.
Ziwa Nyasa linatumika upande wao kwa Tanzania na upande wao Malawi kwa Amani tu.hakuna ugomvi kule.
Swali moja tu tatanishi
Ushawai kufika Mbeya,kyela Matema beach,Njombe,Malawi ukajua kuna nini?
We sijui unaleta ujinga gani, mi nimefika kote huko, hao watu wanaishi kwa amani na upendo enzi zote, hawajawai kupishana.
Hiyo mipaka ni takataka alichora mwingereza na mjerumani.
Burundi na Rwanda ni vimikoa vyetu zamani mpk Zanzibar.
Ni wakoloni walichora tu ramani zao wakatunyanganya.
Soma historia bwa mdogo uko mtupu sana.
 
U
Kala u atakiwa umsome b
Bila shaka mtoa mada ana mafungamano na Zanzibar.
Kaka hapo unatakiwa umsome between the line.. akitoka ya malawi anarudi lileeeeee la nzanzibar kuwa mpaka wa zanzibar na TZ bara uko pwan ya Tz yaan kaanzia mbali kutengeneza cresibility
 
Tusipotoshe, haitatusaidia kitu. Kesi ya Ziwa Nyasa sisi ndiyo tuliojitoa baada ya kuona tutashindwa. Nafikiri haikuendelea baada ya msuluhishi kutushauri tukae mezani. Na hakuna sheria ya kimataifa inayoongoza mipaka kwenye inland water bodies. Zipo sheria za mipaka baharini tu.

Tupambane tupate ushahidi wa kutusaidia kwenye kesi, tusipotoshe na kujifariji.
Ushahidi haupo upande wetu. Tanzania haiwezi shinda hii kesi mahakamani. Waingereza na Wajerumani wote wanajua ziwa lipo Nyasa.

Wazungu ndio waliibumba Tanganyika. Kwenye makoloni na mikataba yao ziwa Nyasa lipo Malawi.

Sasa mtu anataka Tanzania tutumie nguvu wakati suala halipo upande wetu. Last time aliyetaka kutumia nguvu kubadilisha mipaka alisababisha vita ya Kagera.

Hayo mambo ya chanzo cha maji kigawanywe katikati ni busara, ila haijaandikwa popote baina ya Malawi na Tanzania. Maandishi yaliyopo ni ya wakoloni na yanaipa Malawi ziwa lote.
 
Hili jambo litaleta shida huko mbeleni. JPM angekuwa mtu sahihi wa kulimaliza.
Sio uyu chura kiziwi mrembo mrembo ..Jk ali jitahidi sana kipindi cha JPM naona waliogopa kwanza waka tulia , wamekuja kuibuka kipindi hiki tena
 
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Msimamo wa Tanganyika kuhusu ziwa Nyasa unajulikana mpaka ni katikati ya ziwa, hakuna mahali tumelalamika kudhulumiwa maana tunajua hivyo na hilo ziwa tunalitumia bila bughudha yoyote........labda hayo malalamiko mnayo huko mchambawima.
 
Hii mipaka ya Kikoloni isitufanye tukatoana roho.
 
Ushahidi haupo upande wetu. Tanzania haiwezi shinda hii kesi mahakamani. Waingereza na Wajerumani wote wanajua ziwa lipo Nyasa.

Wazungu ndio waliibumba Tanganyika. Kwenye makoloni na mikataba yao ziwa Nyasa lipo Malawi.

Sasa mtu anataka Tanzania tutumie nguvu wakati suala halipo upande wetu. Last time aliyetaka kutumia nguvu kubadilisha mipaka alisababisha vita ya Kagera.

Hayo mambo ya chanzo cha maji kigawanywe katikati ni busara, ila haijaandikwa popote baina ya Malawi na Tanzania. Maandishi yaliyopo ni ya wakoloni na yanaipa Malawi ziwa lote.
Kesi yetu haina tofauti sana na ya Morocco na West Sahara. Imefika hadi ICJ na Morocco akashindwa. Lakini bado anaikalia WS kimabavu. Morocco baada ya kushindwa kesi akaanzisha kampeni ya nguvu ili ajipe uhalali wa kumiliki WS. Ndiyo ziara ya mfalme wao enzi za jiwe.

Kesi haina nguvu kwetu hivyo tusije jaribu kwenda mahakamani. Wakisikilizwa upande mmoja twende kama Morocco, "The strong do what they can, and the weak suffer what they must." Na kampeni nyingi za kihistoria.
 
images (55).jpeg
 
Hamna kitu kinaitwa Makabila ya Mipakani. Ila Kuna makabila yaliyopo pande zote katika nchi mbili zinazopakana. Mfano Wamaasai wapo kuanzia MASAI Mara hadi Mvomero na Kilosa. Tambarare lote la bonde la ufa kuanzia Kenya, Ngorongoro, Longido, Monduli, Simanjiro, Kiteto hadi Mvomero na Kilosa ni Umasaaini.

Utasemaje Wamaasai ninkabila la Moakani.

Upande wa Mwambao Wadigo wanaanzia Mombasa hadi Tanga.

Hivyo, mipaka halisi kama tunahitaji kuwa na mipaka kufuata alama muhimu kama mito, milima, maziwa n.k
Sawa ila nilenga kikawaida kuwa makabila yana asili ya mikoa Yao(eneo lao mama) ambalo huenda wakoloni wao waligawanya pasipo kuzingatia eneo la kabila Bali wao walizingatia kugawana Mali..
 
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Stupid mind!.
 
Ushahidi mmoja wa kihistoria unaoonyesha kwa nini watanzania tunapaswa kuwa na access na ziwa Nyasa, ni kitendo cha mjerumani kuweka patrol boats kwenye hilo ziwa.
 
You are an asshole, wewe umezaliwa, hukuijua google, umeanza kuijua google, kuanzia 2000+, lakini upo hapa kutetea usahihi w google map, software ambayo haikuwepo miaka ya 60!,
Sheria za kimataifa, mipaka kwenye maji upo Kati Kati! It's a universal law!
Na logic ni ndogo tu, pwani za mito, maziwa, bahari hahaha, kwa kumongonyoa udongo, ukisema mpaka wa Malawi upo mwanzo wa ziwa kwa upande wa Tz, ipo siku Mbeya yote itakuwa Malawi! Maana mpaka huhama,unatumia vigezo gani kusema google ipo sahihi, google imetengenezwa na watu, sio bible, data ilizonazo,zimewekwa na watu,
Ur so fucking stupid, this is very treasonous! You must be hanged
I second this.
 
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Kwa hiyo Google map ndio hakimu. Pumbaf
 
Hicho unachojua umeambiwa na nani?
Kama uliambiwa na serikali ya CCM kupitia matamko yao au shuleni ulipokuwa ukisoma, basi piga piga kifua chako kwa kujiamini huku ukijisemea mwenyewe wewe ni mjinga kabisa!

Google map ni sehemu tu ya kupata taarifa za kiramani, na taarifa zao wanazitafuta kutoka vyanzo rasmi mbali mbali vyenye kueleweka na kukubalika na mamlaka za kiulimwengu.
Tatizo ni kwamba nyie wachambawima ni wapumbavu tangu kuzaliwa kwenu hadi kufa ndio maana hata sheria za mipaka za kimataifa huwezi kuzielewa huo upumbavu unaoleta hapa katafute mazezeta kama wewe ukawahadithie sio hapa
 
Inabidi uchu
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.

Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.

Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
nguzwe uskute ni Yale tulio ambiwa kua watu wanapenyezwa wanakuja raia wa Tanzania kumbe ni raia wa nchi zingne? Mamako wakat anakuzaa ndye alikuonyesha huo mpka ??
 
Mnahangaika na umiliki wa ZIWA, mnajifanya wazalendo hivi mnajua ni asset ngapi za hii nchi zishauzwa na wahuni?

Maziwa yenyewe hatuyatumii effectively, nchi imejaa reources kibao lakini bado masikini, what is the point of having them? Si bora hizo resources zibebwe ili tujue hatuna kitu.
Ziwa Nyasa linatumika kiuchumi na kiusafirishaji..
Kiuchumi:
-Biashara ya nyavu za kuvulia samaki na dagaa
-Biashara ya mitumbwi
Kuna fishing activities
-Biashara ya hoteli na nyumba za wageni pale ufukweni
Kiusafirishaji:
-Watu wanasafiri kutoka Kyela hadi mbamba Bay kama shortcut badala ya kupanda basi kuzunguka hadi makambako.
-Watu wanasafirisha mizigo yao kwenda Songea,Malawi,Kyela..
Just to mention the few..
Usiseme Ziwa halina maana just kwasababu wewe hulitumii,acha ubinafsi..wanaoishi Kyela Mbamba Bay, Liuli wanajua umuhimu wake.
ACHA UBINAFSI
 
Back
Top Bottom