Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

Achana naye huyo mchamba wima.Haijui Tanganyika anabwabwaja kama vile anakuywa chai na tambi.
 
Hebu leta ramani ya kabla ya uhuru.
 
Wazanzibar si watu wa kuwapa nchi hii waongoze hawa watatuuza kabisa ni basi tu mistake ilifanyika
 
Sisi watanganyika na nkiwa mkazi wa mby kamwe hatutakubali kumpa kipande cha ardhi malawi ili eti atuachie ziwa kama walivyokubalian na msumbij,kwetu hiyo haipo. Yan kalibia mito yote mi4 inayopeleka maj ziwan inatoka tz af et tusipate umiliki hyo haitakuja kutokea mpaka upo sahihi katikat ya ziwa watake wasitake.
 
Umeeleza vyema.

Suala hili lilijitokeza tokea awamu ya kwanza. Tanzania ilifungua kesi kudai mpaka wa Ziwa upite kati kati ya Ziwa tofauti na Heligoland Treaty ya Great Britain na Ujerumani ya 1890 iliyowapa Malawi ziwa lote upande wa kaskazini kwa kupitisha mpaka kwenye pwani yote ya Tanzania.

Tatizo nyakati zile Nyerere aliweka nguvu kubwa kupambania umoja wa Afrika wakati OAU ikisisitiza nchi za Afrika kuheshimu mipaka iliyoachwa na wakoloni. Na kwa vile hakukuwa na mtafaruku wowote kwenye ziwa, serikali ya awamu ya kwanza haikutilia maanani sana haja ya kupambania mpaka wa ziwa.

Baadaye UN law of the Sea ikaweka wazi kuwa mipaka ya maziwa na mito iliyoko kati ya nchi mbili sharti iwe katikati ya hayo maji. Lakini hiyo siyo automatic. Lazima nchi zikubaliane kwa hati rasmi.

Serikali ya Tanzania bado haijafanikiwa kupindua mkataba wa Heligoland. Hivyo kimataifa mpaka wa ziwa KISHERIA unatambuliwa kama ulivyo chini ya Heligoland Treaty ya 1890! Google na wachapishaji wote wa ramani ya hilo ziwa wanatambua mpaka huo wa kikoloni - hadi hapo sheria itakapobadilika.
 
Yaani masika nikiangalia mto kiwila na song we unavyoyamimima maji kwenda kwa Sumbi halafu eti Sumbi gwa kumalabhi....nakamo..
Atukuketa, kibhoko tukimenye atukukomana.
 
Wewe Kwa akili yako mpaka sasa hivi unaonaje kiongozi,Kuhusu hili swala la ziwa Nyasa lifike mpaka kwenye ardhi yetu afu tusiwe na hata chembe ya umiliki alafu ukiuangalia vyanzo vingine vya maji vinavyo husisha nchi zaidi ya moja mpaka wa nchi hizo huwa unasoma ndani ya maji ya chanzo husika Cha maji.?

Hata kama tukikubari mipaka ya kikoloni ndio itumike lakini Kunasehemu lazima tutumie uelewa wetu kutatua migogoro mfano hasa kwenye ishu Kam hii ya maziwa na vyanzo vingine vya maji vilivyo mipakani.( Mimi naona itakuwa jambo la ajabu ziwa liguse sehemu tatu zijulikanazo kama nchi afu nchi moja ijipe umiliki waziwa lote

Usikute mjerumani alikubali ziwa liwe kwaupande wa Lawi tu kwasababu ya mapatano Yao yakipindi hicho Cha ukoloni kwamba Kila mzungu apate(hawakuwa na hasara sana maana wao wamekuja kutafuta Mali na Kila mtu apate Ili tu wapunguze migogori huko kwao ulaya.)
 
Mngelipata kwa kutumia nguvu kwa jeshi gani mlilo nalo?
CCM badala ya kutumia pesa kuimalisha jeshi wao wanatumia pesa kununua mashangingi ya kutembelea.
 
Wakati wa masika tenende yote Ile inafurika maji hadi inakuwa ngumu kupita kwenda Ipinda na kyela...maji yoote yanakwenda Sumbi...halafu mpemba mmoja anakuja kusema maji yakishaingia kwa Sumbi...yanakuwa siyo yetu tena,yanakuwa ya Malawi..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora ziwa lingekuwa mbaaaaliii huko...lakini ni hapohapo kyela....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We mpemba nenda kale maembe ng'ong'o. Utakuwa hujitambui..
Kwahiyo hata usipa wa Kwa Sumbi ni wa Malawi,inabidi tutozwe Kodi?
Loli untu gwako ukakanunu.
 
Kam huko mbelen viongz wakuu wa Tanzania na malawi wakipshan panaweza leta changamoto zakumwaga damu.
 
πŸ€“πŸ€“πŸ€“ Yani mtu katoka zake omani kaja kwatumia mtutu kufosi mpaka uvuke maji tena majia ya bahari yapatayo zaidi ya kilometers 30 Ili tu atimize matakwa yake ya kibiashara.

Bora ingekuwa ni wa bantu wenye walipigana na kumwagana damu haswa kutokea huko zenji Ili tu waimiliki pwani ya Tanganyika japo nahisi mizozo ingeendelea mpaka Sasa hivi kama tu wabantu wazanzibari wangekuwa wanaishika hii pwani ya Tanganyika.

Binafsi naona ni ngumu sana kueleweka ata tukisema kulikuwa Continental drift.Mipaka inayohusisha maji ndio mipaka ambayo naiona inakuwa rahisi kuamuliwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Waguse pwani waone...wapemba wanamatatizo...
Yaani wamanyema wa Tabora,pua Pana kama yangu walienda Unguja kipindi hiko Cha Biashara ya meno ya ndovu ..Leo wanajifanya ni waarabu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bila ya Okelo mgetawaliwa hadi kesho....
Zanzibar ni mkoa wetu,period.
 
Nahisi pia kaja kuchokona hisia za Watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…