Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Na ndo wanaouza bàndari za tanganyika.Bila shaka mtoa mada ana mafungamano na Zanzibar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo wanaouza bàndari za tanganyika.Bila shaka mtoa mada ana mafungamano na Zanzibar.
Wewe una ajenda yako, na ndio mpotishajiUkweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Kwa kweli Mwalimu Nyerere alifanya kosa kubwa sana kutuunganisha na hawa viumbe.Na ndo wanaouza bàndari za tanganyika.
Kwa hiyo bandari zilizoko upande wa Tanganyika ni za malawiWewe uliyefanya utafiti njoo hapa na uchambuzi wako, hakuna aliyekukataza. Huna hoja basi ishia kusoma hoja za wengine.
Unajua kwamba OAU walikubaliana kuwa mipaka ya kikoloni ndio iendelee kutumika baada ya uhuru?Hamna mwenye haki ya umiliki wa hilo ziwa asilimia 100.
Mipaka ya kikoloni haiwezi kutuondolea haki yetu.
Hivi unajua Zanzibar tuna eneo letu rasmi kisheria huko Tanganyika maeneo ya Bagamoyo. Ni maelfu ya ekari, eneo kubwa huenda zaidi ya nchi ya Vatican. Hivyo wazanzibar wote tunaweza kuja hapo Tanganyika, tukaanzisha taifa letu jipya dogo ndani ya taifa lenu huku tukila mema ya Tanganyika huku mazombi ya kitanganyika yakieendelea kulia lia.View attachment 3183727
Ukimaliza kuzungumzia Malawi anza kuzungumzia ID yako na mikapa yako
Huyu ana siasa ya kuwagawa watu,yaani wengine wanahangaika watu waungane,yeye anafanya juu chini kutugawa..Kwahiyo watu wa Kyela waachaje kutumia hayo maji!??
Tulifungua kesi kihuni na kimihemko, tukaishia kwenye usuluhishi baada ya kunusa kuwa tutapigwa kama kawaida yetu kwenye kesi za kimataifa. Majadiliano ya usuluhishi ni janja janja ya kuvuta muda, kupiga pesa nk.Nakumbuka tulikuwa na kesi na malawi kuhudu hilo ziwa sijui iliishaje, marehemu Membe, alituambia tulishinda ile kesi.
Maana google sijui wao wanatumia vipimo gani, au tulidanganywa?
Japo umeandika Kwa kebehi Sana 😂😂 lakini umesema kitu cha maana Sana ...You are an asshole, wewe umezaliwa, hukuijua google, umeanza kuijua google, kuanzia 2000+, lakini upo hapa kutetea usahihi w google map, software ambayo haikuwepo miaka ya 60!,
Sheria za kimataifa, mipaka kwenye maji upo Kati Kati! It's a universal law!
Na logic ni ndogo tu, pwani za mito, maziwa, bahari hahaha, kwa kumongonyoa udongo, ukisema mpaka wa Malawi upo mwanzo wa ziwa kwa upande wa Tz, ipo siku Mbeya yote itakuwa Malawi! Maana mpaka huhama,unatumia vigezo gani kusema google ipo sahihi, google imetengenezwa na watu, sio bible, data ilizonazo,zimewekwa na watu,
Ur so fucking stupid, this is very treasonous! You must be hanged
Duh hapo ndio naonaga muungano hauna tija..why uwepo? Faida zake ni za..kisiasa au kiuchumi au Kiusalama?Hivi unajua Zanzibar tuna eneo letu rasmi kisheria huko Tanganyika maeneo ya Bagamoyo. Ni maelfu ya ekari, eneo kubwa huenda zaidi ya nchi ya Vatican. Hivyo wazanzibar wote tunaweza kuja hapo Tanganyika, tukaanzisha taifa letu jipya dogo ndani ya taifa lenu huku tukila mema ya Tanganyika huku mazombi ya kitanganyika yakieendelea kulia lia.
Tanganyika ni shamba fulani la bibi mzee sana.
Hivyo ukae utulie tu.
Niishie hapo.
Kipi kilianza kati ya uwepo wa ziwa lenye mipaka tambulika na google map?Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Aende akaangalie ya ziwa Tanganyika au ziwa Victoria halafu aje na mlinganyo/utofauti.nilende kukupinga. mipaka inapoangukia kwenye maj.bas lazma iwe nusu kwa nusu. kwa raman hio kipi kijustify malawa aje mpaka tanzania? bas kama ndio hivyo hata tanganyika uwaambie ko ngo kuwa ziwa ni lettu lote .hapa umepotosha
Vyovyote iwavyo, usuruhishi au kesi, maamuzi yalikuwaje, au tulikubaliana nini kuhusu huo mpaka?Tulifungua kesi kihuni na kimihemko, tukaishia kwenye usuluhishi baada ya kunusa kuwa tutapigwa kama kawaida yetu kwenye kesi za kimataifa. Majadiliano ya usuluhishi ni janja janja ya kuvuta muda, kupiga pesa nk.
Baada ya Membe kuukosa urais, uliwahi kumsikia akizungumzia hiyo kitu?
Your very genius man..You are an asshole, wewe umezaliwa, hukuijua google, umeanza kuijua google, kuanzia 2000+, lakini upo hapa kutetea usahihi w google map, software ambayo haikuwepo miaka ya 60!,
Sheria za kimataifa, mipaka kwenye maji upo Kati Kati! It's a universal law!
Na logic ni ndogo tu, pwani za mito, maziwa, bahari hahaha, kwa kumongonyoa udongo, ukisema mpaka wa Malawi upo mwanzo wa ziwa kwa upande wa Tz, ipo siku Mbeya yote itakuwa Malawi! Maana mpaka huhama,unatumia vigezo gani kusema google ipo sahihi, google imetengenezwa na watu, sio bible, data ilizonazo,zimewekwa na watu,
Ur so fucking stupid, this is very treasonous! You must be hanged