Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana chembe hata moja ya uzalendo,Wala wawezi kuwa mzalendo,huyu ni Adui kwa asilimia 100..Huyu ni Public enemy.Angalau kuwa mzalendo; yanapotokea masuala ya kitaifa huwa haifai kuegemea upande wa pili.
Tupambane kwa jasho na damu tunufaike na ziwa nyasa, mipaka iliwekwa na mkoloni wala muafrika hakuweka mipaka.
Babu zetu walinufaika na ziwa nyasa miaka nenda rudi, iweje mkoloni atugawe?
Afrika mashariki yote Tanzania inanufaika na ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa na mito kama kagera na mto ruvuma ambayo imegawa Nchi, pamoja na hivyo tunanufaika na bahari pia.
Kumiliki nusu ya ziwa ni muhimu sana kwa masuala ya usalama wa nchi, leo ww unaleta ujinga wa kutetea malawi, WHY??
Wewe na Wamalawi acheni ubinafsi
Hakuna maslahi ya nchi kwenye kunyang'anya maeneo ya watu...tuna mapori mengi sana hatujaendeleza...ziwa Victoria tumeshindwa kuliendeleza uvuvi haramu umemaliza samaki sasa wameamua kuuzia wachina maeneo wanafuga samaki broilers...Embu kama nchi tuwe na priorities... Hata tupewe dunia nzima kwa hii tutaendelea kuwa maskini tuUsiandike utoto kwenye mambo yenye maslahi mapana ya nchi...who do you want to impress.
Choko kweli Niazime ubongo nilijue nilisemalo😂😂 hujui usemalo,
Fatuma Karume alikuja na upotoshaji sawa na huu wa kwako mwaka ule wa 2013. Hamza Johari akaandika makala kwenye gazeti moja la kingereza na ikampa umaarufu miongoni mwa jamii ya wanasheria wa Tanzania.Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Sijakutukana naona umepanikiChoko kweli Niazime ubongo nilijue nilisemalo
Njooni mlichukue!Hivi unajua Zanzibar tuna eneo letu rasmi kisheria huko Tanganyika maeneo ya Bagamoyo. Ni maelfu ya ekari, eneo kubwa huenda zaidi ya nchi ya Vatican. Hivyo wazanzibar wote tunaweza kuja hapo Tanganyika, tukaanzisha taifa letu jipya dogo ndani ya taifa lenu huku tukila mema ya Tanganyika huku mazombi ya kitanganyika yakieendelea kulia lia.
Tanganyika ni shamba fulani la bibi mzee sana.
Hivyo ukae utulie tu.
Niishie hapo.
Upo sahihi.Mipaka yote ya bara la Afrika iliwekwa na wakoloni, na hiyo ndio tuliweza kurithi baada ya uhuru na sheria za UN zinatamka wazi, mipaka ya kikoloni ya kisheria ndio mipaka rasmi baada ya uhuru. Mpaka wa kikoloni unatamka wazi kuwa Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi japokuwa lilikuwa linapakana na nchi tatu (Malawi, Tanzania, Msumbiji), leo hii Msumbiji ana umiliki pia wa sehemu ya ziwa Nyasa baada ya kuridhiana na Malawi kumpa sehemu ya ardhi yake yenye milima ili yeye (Msumbiji) apate sehemu ya ziwa hivyo mpaka wa Malawi na Msumbiji ukabadilishwa kisheria. Tanzania tumekataa kuridhiana na Malawi ili nasi tupate sehemu ya ziwa kisheria.
Hoja ya Tanzania ni moja tu, mkataba wa kikoloni ulioipa Malawi umiliki wote wa Ziwa haukuwa wa haki, hivyo haupaswi kurithiwa, upigwe chini. Hayo sasa ndio mambo ya kisheria, siku moja tutajadili upya hapa JF japokuwa ilishajadiliwa sana humu.
Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Dogo Kausha basi au huna darasa leoSijakutukana naona umepaniki
Hayati Lowassa aliingilia hili suala likiwa limeshasogea alitaka kupata umaarufu wa kisiasa.Pumzika Kwa Amani Laigwanan Edward Ngoyai Lowassa.
Hilo unalolizungumza ni matatizo ya serikali na siyo nchi...ninyi watoto wa 2000 mnajifanya mnajua mambo sana kumbe ni bure kabisa...Hakuna maslahi ya nchi kwenye kunyang'anya maeneo ya watu...tuna mapori mengi sana hatujaendeleza...ziwa Victoria tumeshindwa kuliendeleza uvuvi haramu umemaliza samaki sasa wameamua kuuzia wachina maeneo wanafuga samaki broilers...Embu kama nchi tuwe na priorities... Hata tupewe dunia nzima kwa hii tutaendelea kuwa maskini tu
We ni mwehu kama hujui kuita watu kistaarabu bora ukae kimya pumbavu wewe, wengine ni wazazi wako humu au hizo punyeto zinakudanganya..?Dogo Kausha basi au huna darasa leo
Malawi waliishindwa hiyo kesi katika mahakama za kimataifa,, wanasheria wao hawakujitokeza walipohitajika.Upo sahihi.
Ila nafikiri maridhiano ya mipaka yalifanyika kati ya serikali ya wakoloni wa kiingereza (Malawi) na kireno (Msumbiji).
Wakati wanaelekea kutaka kuridhiana kati ya Uingereza (Malawi) na Germany (Tanganyika), WWI ikawa imetokea na baadaye Malawi na Tanganyika zote zikawa chini ya UK, huku mpaka wa mwanzo uliotambulika na Heligolqnd treaty ukiwa haujabadilika. Ni mpaka huo ndio uliendelea kurithishwa kwenye mataifa huru na ndio unaofuatwa na google.
Ni ukweli unaouma.
Kimantiki kila mtu anatamani mpaka uwe katikati.
Poyoyo nyingi...lete minutes na mipaka ya Berlin conference tuone ziwa nyasa mwisho wake wapi...serikali ya CCM imezoeaa uongo kwenye kila kitu...na hapa usishangae wanataka ziwa wakakopee WB under an umbrella ya kuwekeza uchumi wa bluu...my foot.Hilo unalolizungumza ni matatizo ya serikali na siyo nchi...ninyi watoto wa 2000 mnajifanya mnajua mambo sana kumbe ni bure kabisa...
Hapa concern yetu ni mipaka ya nchi,umesikia tuitaja CCM ama cuf au Chadema?
Hayo unayoyaongelea yanaweza kuwa solved na Serikali,who knows labda wewe unaweza ukaja kuwa Rais na kuunda serikali Yako na kufanya maziwa,mapori na bahari viwafaidie Watanzania?
Tofautisha kati ya Serikali and Nchi..
Serikali zinakuja na kwenda,lakini nchi itabaki kuwa vilevile, nchi ni urithi wetu,usituletee uchuro wako hapa.
Unawashwa njoo PM tuyajengeWe ni mwehu kama hujui kuita watu kistaarabu bora ukae kimya pumbavu wewe, wengine ni wazazi wako humu au hizo punyeto zinakudanganya..?
Then tunarudi palepale, mikataba ya kikoloni inaipa Malawi ziwa Nyasa lote.
Hizi waligawa mkuu. Maandishi yapo na mkataba upo, sio maneno ya mdomoni. Kwahiyo ukienda mahakamani Malawi wakaleta Heligoland treaty, Mtanzania ukaleta maneno ya mdomoni ya "ni kwa sababu Ujerumani ilineglect vyanzo vya maji" unapigwa za uso asubuhi na mapema.
Malawi hawawezi dai Pwani, watadai kwa claim ipi? Wanadai ziwa Nyasa kwa claim ya kimkataba wa wakoloni ambao ndio tunatumia kudai mpaka fulani uko wapi. Kama hatukubaliani na mpaka ule, vipi Kenya nao wakisema hawakubaliani na Kilimanjaro kuwa Tanzania? Na wao tuwakubalie.
Sasa hii kisheria ndio imeishakuwa hivyo. Hata Caprivi strip kule Namibia inaheshimiwa na majirani. Haya mambo ya wakoloni walikosea yataleta shida kwenye akili za kipuuzi za Mwafrika.
Iddi Amin naye alisema wakoloni walikosea kutoipa bandari Uganda, pia walikosea kuiweka Kagera salient Tanzania. Ethiopia inasikikika sana kutokuwa na access na bandari.
Minutes za Berlin zinaonyesha mpaka ni katikati ya maji ya Ziwa, wanasheria walilipigania hili suala miaka ile Membe akiwa waziri wa mambo ya nje na wanasheria wa Malawi wakaingia mitini.Poyoyo nyingi...lete minutes na mipaka ya Berlin conference tuone ziwa nyasa mwisho wake wapi...serikali ya CCM imezoeaa uongo kwenye kila kitu...na hapa usishangae wanataka ziwa wakakopee WB under an umbrella ya kuwekeza uchumi wa bluu...my foot.
Weka hapa tuzijadili...usiongelee vitu vya kusadikika...wanasheria wetu hao ambao kila kesi wanapigwa huko majuu...should we trust them ?Minutes za Berlin zinaonyesha mpaka ni katikati ya maji ya Ziwa, wanasheria walilipigania hili suala miaka ile Membe akiwa waziri wa mambo ya nje na wanasheria wa Malawi wakaingia mitini.