Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Tutafute TU yatakukuta mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulingana na ramani uliyoiweka ndugu Zanzibar-ASP, ninkwamba ziwa hilo limegusa nchi tatu, Malawi, Mozambique na Tanzania.
Kulingana na ramani hiyo, kwenye nchi za Malawi na Tanzania, mpaka umepita kwenye ufukwe upande wa TZ. Lakini unapoambaa na mpaka huo mpaka nchini Mozambique, unagundua kwamba mpaka unarudi katikati ya ziwa, hapo mimi ndio sijaelewa aisee!!
Kwamba, kati ya Malawi na TZ mpaka upo ufukweni kwetu, ila kati ya Malawi na Mozambique mpaka upo katikati ya ziwa, inakuwaje hapo?
Pia ukiangalia mipaka kwenye maziwa mengine yanayounganisha nchi na nchi, mipaka inakuwa katikati ya ziwa!
Sasa kwanini kipande cha Tanzania na Malawi mpaka uwe ufukweni TZ ila kipande cha Malawi na Mozambique mpaka uwe katikati kama maziwa meng
Katika Mipaka ya Holigoland treaty Rwanda na Burundi pamoja rasi ya Cabo Delgado zipo ndani ya Tanganyika. Kwa hiyo tuanze kudai hayo maeneo yetu yarudi ndani ya Tanganyika siyo?Upo sahihi.
Ila nafikiri maridhiano ya mipaka yalifanyika kati ya serikali ya wakoloni wa kiingereza (Malawi) na kireno (Msumbiji).
Wakati wanaelekea kutaka kuridhiana kati ya Uingereza (Malawi) na Germany (Tanganyika), WWI ikawa imetokea na baadaye Malawi na Tanganyika zote zikawa chini ya UK, huku mpaka wa mwanzo uliotambulika na Heligolqnd treaty ukiwa haujabadilika. Ni mpaka huo ndio uliendelea kurithishwa kwenye mataifa huru na ndio unaofuatwa na google.
Ni ukweli unaouma.
Kimantiki kila mtu anatamani mpaka uwe katikati.
Duh, huu ni mtihani zaidi ya miaka 10 imeshapita. Ni ya mwaka 2013 iliandikwa baada ya Fatuma Karume kuilisha matango pori jamii ya Watanzania akisema kwamba mpaka ni pembeni ya Ziwa akimaanisha Ziwa lote ni mali ya Malawi.Mkuu tunaweza kupata hiyo makala ya MH Hamza Johari
Malawi ilishindwa sababu ni banana republic, siku wakipata serikali inayoeleweka hii kesi wanashinda na tunalazimika kuingia makubaliano mapya na compromise.
Status itabaki hivi endapo Nyasa hamna gesi au mafuta, siku zimetokea malighafi humo tutabishana. Ikitokea ni maji tu basi wanaweza ruhusu tutumie au tuvue samaki.
Na kisheria za kimataifa, ni marufuku kuzuia chanzo cha asili cha maji kisielekee nchi nyingine. That's an act of war.
Nigeria kwenye Niger Delta wana mabwawa ya umeme kama Kainji ambayo maji yake yanatokea nchini Niger. Nigeria ililazimika kuipa umeme Niger ili nayo isijenge bwawa kwake ambalo litazuia maji. Kwenye HEP station angalau mtazozana, sasa kwenye hamna eti Tz tuzuie maji yasiende Nyasa sijui yakalete mafuriko wapi lazima kimataifa tuonekane na makosa makubwa.
😂😂🫡🤝nakamo..
Atukuketa, kibhoko tukimenye atukukomana.
Sawa ila kunamaeneo mengine kutokana na mpaka wa ki-ardhi nadhani umefanya Tanzania kuchukua eneo kubwa kiasi kwenye maziwaMazungumzo baina ya Tanzania na Malawi yafanyike. Au status quo ibaki hivihivi tunatumia bila shida wala ugomvi.
Ila Tanzania kulazimisha au kujiaminisha ziwa nusu liwe lake kisheria haiko na back up. Maana Malawi wala Tanganyika sio zilizogawa mipaka. Hata Kenya wangependa kuwa na eneo kubwa la ziwa Victoria ila waliambulia kaeneo kadogo 6%, Uganda 43% wakati Tanzania ina nusu nzima 51%.
Sasa Kenya waje hapa walazimishe ziwa ligawanywe kwa 33% kwa nchi tatu itakuwaje?
Ziwa Tanganyika 45% Congo, 41% Tanzania, 8% Burundi na 6% Zambia. Zambia na Burundi nazo zilalamike zitake mgawo sawa?
Tanzania kuna sehemu nyingi imependelewa kuliko kupunjwa. Thats life huwezi pata kila kitu.
Na Wangoni pia wapi pande zote za Tanzania na Malawi.Siyo wanyasa tu.. Kuna Wanyakyusa wa Malawi na Wanyakyusa wa Tanzania...
Kuanzia Songwe, Iponga,Kaporo, Pusi, Mwanitete, Ngerenge,pote huko wanaoishi ni Wanyakyusa tu....,siyo Wanyakyusa wahamiaji,ni Wanyakyusa ambao walikuwe kabla hata ya uhuru wa Malawi na Tanganyika.
Mbona hujatoa/onyesha uthibitisho wa hoja yako? lete chanzo/support cha hoja yako na siyo maneno yako tu.Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Universal law inasema " mpaka wa kwenye maji ziwani ni KATIKATI ya ziwa husika.Mipaka yote ya bara la Afrika iliwekwa na wakoloni, na hiyo ndio tuliweza kurithi baada ya uhuru na sheria za UN zinatamka wazi, mipaka ya kikoloni ya kisheria ndio mipaka rasmi baada ya uhuru. Mpaka wa kikoloni unatamka wazi kuwa Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi japokuwa lilikuwa linapakana na nchi tatu (Malawi, Tanzania, Msumbiji), leo hii Msumbiji ana umiliki pia wa sehemu ya ziwa Nyasa baada ya kuridhiana na Malawi kumpa sehemu ya ardhi yake yenye milima ili yeye (Msumbiji) apate sehemu ya ziwa hivyo mpaka wa Malawi na Msumbiji ukabadilishwa kisheria. Tanzania tumekataa kuridhiana na Malawi ili nasi tupate sehemu ya ziwa kisheria.
Hoja ya Tanzania ni moja tu, mkataba wa kikoloni ulioipa Malawi umiliki wote wa Ziwa haukuwa wa haki, hivyo haupaswi kurithiwa, upigwe chini. Hayo sasa ndio mambo ya kisheria, siku moja tutajadili upya hapa JF japokuwa ilishajadiliwa sana humu.
Mlima Kilimanjaro ni ardhi hiyo sio majiHakuna nchi inayojimilikisha. Nani alikupa mipaka ya Tanganyika unayotumia leo, nani alikupa 51% ya ziwa Victoria na akawapa Kenya 6%?
Huyohuyo ndio aliipa Malawi ziwa lote.
Ukisema wanajimilikisha basi na Kenya iseme tunajimilikisha mlima Kilimanjaro na Uganda iseme tunajimilikisha bandari nyingi wakati yenyewe haina.
Toa sababu za msingi za kisheria kuonyesha mpaka ulioonyeshwa na Google map ni sahihi kuliko ule ulioonyeshwa na JMT.Ukweli usemwe na sio kupotoshwa.
Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kisheria, Tanzania mpaka leo tunaendelea kudai haki ya kudhurumiwa kupata sehemu ya ziwa. Hicho ndio google map wamefanya.
Huwa ni KATIKATI ya ziwa kwa universal law.Hamna mwenye haki ya umiliki wa hilo ziwa asilimia 100.
Mipaka ya kikoloni haiwezi kutuondolea haki yetu.
XcHuwa ni KATIKATI ya ziwa kwa universal law.
Ni kweli kabisa ila hapo mwishoni nitakupinga sasa una train navy kwa ajili ya air force??Mtu sahihi alikuwa Nyerere (kwa sababu alikuwa na ushawishi), na labda Kikwete (alikuwa ni mwanadiplomasia mzuri), tofauti na hapo tupate rais mwenye kujua sheria za kimataifa vizuri (hapa nadhani Lissu atatufaa zaidi). Magufuli angeishia kutumia nguvu (jeshi), Ziwa tungelipata lakini tungeshindwa kulitumia, lingeishia kuwa kambi ya wanajeshi wa majini.
Mnavyobwabwaja huku kama vile nyie ndo mmepewa mamlaka na Mungu ya kuamuliwa wazawa walikuwa wakitumia hayo maji tangu AsiliMazungumzo baina ya Tanzania na Malawi yafanyike. Au status quo ibaki hivihivi tunatumia bila shida wala ugomvi.
Ila Tanzania kulazimisha au kujiaminisha ziwa nusu liwe lake kisheria haiko na back up. Maana Malawi wala Tanganyika sio zilizogawa mipaka. Hata Kenya wangependa kuwa na eneo kubwa la ziwa Victoria ila waliambulia kaeneo kadogo 6%, Uganda 43% wakati Tanzania ina nusu nzima 51%.
Sasa Kenya waje hapa walazimishe ziwa ligawanywe kwa 33% kwa nchi tatu itakuwaje?
Ziwa Tanganyika 45% Congo, 41% Tanzania, 8% Burundi na 6% Zambia. Zambia na Burundi nazo zilalamike zitake mgawo sawa?
Tanzania kuna sehemu nyingi imependelewa kuliko kupunjwa. Thats life huwezi pata kila kitu.
Wewe ni Mjinga wa mwisho Popoma mkubwa, usiyejitambua.Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani hiyo ya google inaonyesha mpaka wa kisheria uko pwani ya Ziwa Nyasa upande wa Tanzania na hapo hapo kuonyesha mpaka ambao Tanzania inadai ambao uko katikati ya Ziwa Nyasa. Kimsingi google map wako sahihi kwa 100%. Huo ndio ukweli ambao umekuwepo siku zote kabla hata ya kupata Uhuru na baada ya kupata uhuru.
Mpaka leo hii Tanzania tunadai kupata haki ya kumiliki karibu nusu ya Ziwa Nyasa lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Malawi bado wana umiliki wa Ziwa Nyasa lote katika mpaka wake na Tanzania. Ni ukweli mchungu dhidi ya Tanzania na ukweli usio wa haki. Lakini ndio ukweli halisi. Tuna haki ya kudai ubadilishwe lakini hatuna haki ya kuupotosha.
Zama za kuwadanganya watu kielimu na kuwatisha wasijifunze kujua nini dunia inasema na kutambua (tofauti na vile walivyoaminishwa awali) kuhusu jeografia, historia na sayansi zimepitwa na wakati.
Wewe unafikiri KIJINGA!! wakati wa kuabudu Sheria za wakoloni zimepita!!Unajua kwamba OAU walikubaliana kuwa mipaka ya kikoloni ndio iendelee kutumika baada ya uhuru?
Yani unataka kusema kwamba nchi za Afrika tuna busara sana kwahiyo tuanze kuchora upya mipaka. Unazijua akili za Mwafrika kweli mkuu?
Yani turudie kuchora, Uganda wapendekeze kupata Kagera salient, Kenya wapendekeze kupata mlima Kilimanjaro pale ambapo ramani ilipindishwa ili mlima uwe Tanzania, Zanzibar wadai pwani ya bara maana kuna Sultan aliwahi sema anaimiliki na akiwapa Wajerumani sijui, Tanzania tudai sehemu ya Masai Mara ya Kenya ili Wamasai wote wawe Tanzania, Kenya wapendekeze waongezewe sehemu ya ziwa Victoria wawe nayo nyingi maana Tanzania imechukua kipande kikubwa zaidi, Burundi nao waombe sehemu kubwa zaidi ya ziwa Tanganyika. Hapo ni sisi tu, bado sehemu nyingine za Afrika.
Kiuhalisia ukisoma Helligoland treaty na mkataba mwingine, hakuna ushahidi unaoonyesha Tanzania tunamiliki nusu ya ziwa Nyasa. Hata Wajerumani waliokuwa wanatawaka Tanganyika ramani yao inaonyesha Nyasa nzima ni ya Malawi.
Sisi Tanzania tunakuwa na claim kuwa wazungu walikubaliana kama kuna chanzo cha maji mpakani basi kigawanywe kila nchi inayopakana ipate kiasi chake. But that wasn't the case kwa ziwa Nyasa. Tukienda mahakama ya usuluhishi, zikaletwa mikataba na mashahidi wakoloni Tanzania tunashindwa asubuhi na mapema kabisa.
Ukienda mahakamani na hii attitude utashindwa na kutupwa ndani kwa kudharau mahakama.Mnavyobwabwaja huku kama vile nyie ndo mmepewa mamlaka na Mungu ya kuamuliwa wazawa walikuwa wakitumia hayo maji tangu Asili