Dinazarde,Warumi,Madame B niliwamisoooo mpaka sooo.niliteseka sana kukosa umbea mpaka hivi leo ndo nimepoa kuona mpo hai na bado mnalisongesha humu JF.I laaaaap you wanadamu kinomanoma
Love you tooooooooo segito wa kalenga.
Kumbuka kuna TCRA halafu....
Babuu wee watupishe mimi nilijua FBI ? Hao tcra ndo wadudu gan? Ebu wapite kule mxiewwww...mic you cuzooo
Ndo kuna mmoja nimekutana nae hukooo majukwaa mengine...eti anaenda kusema TCRA ili JLW lifungwe....weeee, huyu sasa anatafuta mchuma janga.
Afu unajua watu hawajasoma vizuri makosa ili TCRA isikubebe....wanajua kila kosa basi unaenda segadance.
Na mwaka huu binamu....Segerea hapatoshi, labda wafunge maturubai ya chuma uwanja wa taifa maana sjui uraiani kama ataachwa mtu.
Mie nikienda nitakosa ya mtaani....nataka nisikie ya uswazi maana nasikia dada Mond anapeleka kigoma cha Uruguay.
Halafu una habari kuwa tangu iingie tar.1 yule mbea no. 1 Insta amefuta post zake zote?
mpaka leo hakuna kitu wakati alisema mie siiogopi TCRA wala TID.....heeeee ugali mtamu kumbe
Ahahah mi najua kabisa kuna nafas yangu segerea...mi najal bas?? Tutapiga umbea uko huko mwenzangu na manyapara hahahah
Ahahah mbea yupi huyo binamu?? Mmh umesikia udaku wa diamond?? Nasikia ukoo mzima umeamia tegeta kwa diamond..mmmh mwenzangu zari ana kazi akii na ule uzungu atawez kwel kuish na ndugu?? Mmh
Hahahahha....badilika ubadilishwe bhana....page ya umbea mwenzake na usipojipanga.
Yaani sie wabongo tushakuwa samaki...kutwa tuko ndani ya swimming pool la mond...tunakunya na kukojoa humohumo.
Hivi ladynaa vepeeeeeee kwani!!!!!
Hakyamama....katiwa bila ndomu, dah Petit nyokooooooo.
Mjini sihami binamu.
Na Zarj atajuta kuolewa Bongo.
Mmh binamu unapenda udaku akiii ..asubuh yote hii?? Haya ebu nipe umbea wa mama ubaya maana ninemmis hatar
Mmh mi mara ya mwisho nmemuona akinengua wenye jukwaa la CCM, usiku nikaota eti asha baraka kamsajili twangapepeta
hii ndoto ishindwe na itokomee kabisa alaaah
Hahahahha....badilika ubadilishwe bhana....page ya umbea mwenzake na usipojipanga.
Yaani sie wabongo tushakuwa samaki...kutwa tuko ndani ya swimming pool la mond...tunakunya na kukojoa humohumo.
Hivi ladynaa vepeeeeeee kwani!!!!!
Hakyamama....katiwa bila ndomu, dah Petit nyokooooooo.
Mjini sihami binamu.
Na Zarj atajuta kuolewa Bongo.
Ha ha ha
Jamani puriiiz naomba uitake twanga radhi....
Mimi najua waislam tu wakristo sijui my dear.Hivi arobain hufanywa na na waislamu tu au nini maana yake nifah hebu njoo nijuze
Kumbe i was so wondaz mbona sioni wengine wakifanya.Mimi najua waislam tu wakristo sijui my dear.
Na waislam hiyo 40 ndio mama na mwana wanatoka nje sasa.
Kabla ya 40 hawatakiwi kutoka nje ya nyumba yao.