Utata wa mtoto wa Diamond, Mama Zari amaliza ubishi..

Hiyo sura ni daimond wakuu afadhali angufanana na mama yake safii sana kidume wasikubabaishe muongeze mama wa pili tena uwalambishe ndimu humu ndani wanaokorofoka sana watu baadhi
 
Mhhhhhhhhhhhh atakuwa amekusikia. Diamond pokea ushauri huu baba😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Eti hela aweke wapi?
 

Tatizo lako ninii asah?!
 
Ni ushauri tu ila matusi mengi kama uyo domoz ndugu yenu
 

Yaani unamaanisha Zari anaweza kumgeuka Diamond na kumkwangua pesa zote akishirikiana na her ex Ivan?labda humjui vizuri Zari,yule dada hana njaa ya fedha kwani anamiliki biashara zake kubwa pale Uganda na South Africa.
 

Wabongo bhana ...Sasa mtu kaenda "kuzaa" na mama wa watoto wanne ...mnategemea kwake muhimu ni aliyezaa naye mtoto Mmoja au baba wa watoto wake wanne?
 
Wakati tunatumia internet za TTCL za DSL iikuwa ngumu sana kukuta vi-post vya hovyo hovyo kama hivi!!! Kwanza 1GB ni sh.30,000/= na ukifannya masihara, ndani ya wiki tu imeshakata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…