[emoji3] [emoji3] [emoji3] kha hata wewe?inahu..........![emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ......ningekuwa joti ningekujibu kuwa nimeshtua kidogo!![emoji3] [emoji3] [emoji3] kha hata wewe?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] haya bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ......ningekuwa joti ningekujibu kuwa nimeshtua kidogo!!
ila akina Nifah wanadai kuwa tukiwa kwenye hizi thread za ubuyu ni ruksa kujiachia!![emoji23] [emoji23] [emoji23] ......ila sitorudia tena,naogopa kuitwa mwanaume wa Dar!![emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30][emoji3] [emoji3] [emoji3] haya bana
aah[emoji38] jiachie tu mi nimefurahiila akina Nifah wanadai kuwa tukiwa kwenye hizi thread za ubuyu ni ruksa kujiachia!![emoji23] [emoji23] [emoji23] ......ila sitorudia tena!![emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Sitarudia tena,naogopa kuitwa mwanaume wa Dar!![emoji30] [emoji30] [emoji30]aah[emoji38] jiachie tu mi nimefurahi
[emoji23] [emoji23]Sitarudia tena,naogopa kuitwa mwanaume wa Dar!![emoji30] [emoji30] [emoji30]
MangeHabari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba
Source: Mange Kimambi
Kwan yeye kijana sasaMange amedata, umesikia ameweka clip "nampenda binti kizee" kwenye caption ya baba na mama T
Mambo ya kuuza sura mujini,ila mange mbea jamani na kila siku anatangaza ameacha umbea
Mambo ya kuuza sura mujini,ila mange mbea jamani na kila siku anatangaza ameacha umbea
Mange naye angepost yake ya USA.Huo mjengo wa huyo kijana utawatoa roho wenye wivu maana wanaacha kufanya mambo yanayowahusu wanaanza kupika majungu kuhusu huo mjengo,hongera zake kijana ila kama anatupiga kamba atakuwa boya sana!
basi akuuzie ww n mange iwe yenu tu nyie swHabari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba
Source: Mange Kimambi
Simpendi huyo dadaHabari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba
Source: Mange Kimambi
Kakufanyia nn mbaka humpendi?Simpendi huyo dada
Kitu gani ambacho aliwahi kusema kanunua au kafanya watu wakakosa kusema anadanganya.
Tatizo watu kisa hawana uwezo hawaamini macho yao pale mtoto wa tandale anapofanya yale waliyoshindwa kufanya wale wanaojiita watoto waliozaliwa ushuani.
Walianza hana mbegu akampa mimba zari akapata mtoto.
Wakaja tena mange eti mtoto wa katunzi mara ivan; wakaanza DNA Mungu akawaambua mtoto diamond copy.
Wakaanza kazaa na bibi mara sijui nini.
Na hili atawaumbua