BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Mange hawezi kuacha umbeaMambo ya kuuza sura mujini,ila mange mbea jamani na kila siku anatangaza ameacha umbea
Ikizingatiwa anapelekewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange hawezi kuacha umbeaMambo ya kuuza sura mujini,ila mange mbea jamani na kila siku anatangaza ameacha umbea
MmmhKitu gani ambacho aliwahi kusema kanunua au kafanya watu wakakosa kusema anadanganya.
Tatizo watu kisa hawana uwezo hawaamini macho yao pale mtoto wa tandale anapofanya yale waliyoshindwa kufanya wale wanaojiita watoto waliozaliwa ushuani.
Walianza hana mbegu akampa mimba zari akapata mtoto.
Wakaja tena mange eti mtoto wa katunzi mara ivan; wakaanza DNA Mungu akawaambua mtoto diamond copy.
Wakaanza kazaa na bibi mara sijui nini.
Na hili atawaumbua
Na ww umeaminiWatu wanapenda makuu sana, kama alikua hajaitolea chapaa kulikua na haja gani kuutangazia ulimwengu kua ameinunua?
Pole Binamu...!!Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba
Source: Mange Kimambi
Hahahaha chagua wataka L.A au NewyorkWewe hata kibanda cha mbwa hujanihonga nakuangalia tuu
Heehe kumbe una tambua kua mange n kibibi na yeye[emoji28]ana lazimisha umaarufu sana tu kwa kutengeneza skendo na kuchafua watu kwa roho yake mbaya hilo ndo haswa namaanishaaaaHaha Mange alikuwa maarufu tangu zamani wakati kina zari wanabadilishwa nepi.
Japo sio mshabiki sana ila hapo umepindisha ukweli.
Kufuatilia maisha ya watu sio dili kabisa. Kama hii post ilivyo tofauti yetu sie na hao wengine ni ukubwa wa audience tu.
Mbona kama umepaniki
- doricemwalongoInaonekana wewe dada analipwa mshahara mnono sana maana duuu! Ivi unafanya kazi ofisi gani mpaka unapata muda wa kufanya hayo yote acha hiyo tabia binti hayo ni maisha yao waache haitakusaidia chochote binti
- ayah.babyBii vuzi angekuwa na hela angefanyiwa birthday ya anti na iyobo kaa guest.pliiiz safe the crap Hana hela wala kazi
Like
- robert_donaldrobitoWe nae umetuchosha kila kitu ukijue ww umekua Google kwendraaaaa bana hata kama hawajanunuliana nyumba yanakuhusuuuuuu
- phionafifiiLool u are one sad lady mange,like seriously u need to grow up
- sophy_kayombondo maana haumpendi huyu mwanamke @getrudeshussa
- noree6600Ww muongo sana mange huwa siyaaminigi maneno yako alaf ndo maana hao wakenya wanasema wabongo wanawazaga. Umbea tuu
Acha uboya ww kwahyo ushathibitisha,,,, udaku utakuua dadaWatu wanapenda makuu sana, kama alikua hajaitolea chapaa kulikua na haja gani kuutangazia ulimwengu kua ameinunua?