Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Mambo ya kuuza sura mujini,ila mange mbea jamani na kila siku anatangaza ameacha umbea
Mange hawezi kuacha umbea

Ikizingatiwa anapelekewa
1474735702605.png
 
Kitu gani ambacho aliwahi kusema kanunua au kafanya watu wakakosa kusema anadanganya.
Tatizo watu kisa hawana uwezo hawaamini macho yao pale mtoto wa tandale anapofanya yale waliyoshindwa kufanya wale wanaojiita watoto waliozaliwa ushuani.
Walianza hana mbegu akampa mimba zari akapata mtoto.
Wakaja tena mange eti mtoto wa katunzi mara ivan; wakaanza DNA Mungu akawaambua mtoto diamond copy.
Wakaanza kazaa na bibi mara sijui nini.
Na hili atawaumbua
Mmmh

Hapo kwenye copy na mondi mmmmh
 
Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba

Source: Mange Kimambi
Pole Binamu...!!

Bossylady kwa hiyo bado atakaa kwa Ivan?!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Sidhani kama diamond ni mjinga kiasi cha kutangaza nyumba isiyo yake kweli, km ilikuwa sokoni wamenunua means itatolewa its a matter of time. Mange huwa namsapoti ila linapokuja suala la kumtetea wema upuuzi na kumsimanga zari na kutangaza wanawake wawe gold diggers, na kutetea mishoga, atanisamehe she becomes mpuuzi wa hali ya juu.
 
Huyu mange amezid yy ni nani mpk ajue kila kitu kuna muda anaboa inabid awe anafanya na maisha yake sio kuangalia maisha ya watu
 
Huyo mange mzutii unamuwasha sana mpka chibu amfumue ndio atatulia....hana jipya mbna yeye alidai ndio mtanzania mwenye nyumba usa kumbe kapanga kigogo fresh ya usa
 
Hiyo nyumba mbona Dai anainunua tu maana ni kama 400mil hivi
 
Haha Mange alikuwa maarufu tangu zamani wakati kina zari wanabadilishwa nepi.
Japo sio mshabiki sana ila hapo umepindisha ukweli.
Kufuatilia maisha ya watu sio dili kabisa. Kama hii post ilivyo tofauti yetu sie na hao wengine ni ukubwa wa audience tu.
Heehe kumbe una tambua kua mange n kibibi na yeye[emoji28]ana lazimisha umaarufu sana tu kwa kutengeneza skendo na kuchafua watu kwa roho yake mbaya hilo ndo haswa namaanishaaaa
 
  • doricemwalongoInaonekana wewe dada analipwa mshahara mnono sana maana duuu! Ivi unafanya kazi ofisi gani mpaka unapata muda wa kufanya hayo yote acha hiyo tabia binti hayo ni maisha yao waache haitakusaidia chochote binti
  • ayah.babyBii vuzi angekuwa na hela angefanyiwa birthday ya anti na iyobo kaa guest.pliiiz safe the crap Hana hela wala kazi
    • robert_donaldrobitoWe nae umetuchosha kila kitu ukijue ww umekua Google kwendraaaaa bana hata kama hawajanunuliana nyumba yanakuhusuuuuuu
    • phionafifiiLool u are one sad lady mange,like seriously u need to grow up
    • sophy_kayombondo maana haumpendi huyu mwanamke @getrudeshussa
    • noree6600Ww muongo sana mange huwa siyaaminigi maneno yako alaf ndo maana hao wakenya wanasema wabongo wanawazaga. Umbea tuu
    Like
Mbona kama umepaniki
 
Back
Top Bottom