Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Kumbe Mange ndie kaandika?! mtu mwenye matatizo ya wivu na bado watu wana muamini hivi alishakanusha kuwa Samia Suluhu ameghairi kujiuzulu au ni kweli Samia sasa si makamu wa rais?! Mange hana jipya.
 
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.

Umeumbukaje? He has now paid for the house and the house is now taken off the market.
 
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.
Doh..!!!
Ahahaaaaaah...
Hizi roho mbaya zenu zitakuja kuwaponza siku moja..!
 
Hivi mange na zari nani mkubwa jamani??haahaha
Jaman mange ana wivu sana pia atakua na roho mbaya yaani yote hayo kisa dai alimuacha wema
Wema mwenyew hanaga time na huyo mange,
Mange analazmisha kua maarufu
Na ameshakuwa maarufu,afu huwa najiulza mbona huwa hakamatwi maana huwa anaiponda serikali na mkulu wazi wazi
 
Maskini Mondi kwani kawakosea nini watz?hakubaliki kwao sema he never cares anafanya yake na kashasema yeye ninmswahili haswaaaa! Kazaliwa uswahilini hanaga makuu ya kujitia yy mzungu lkn watu wa uswaz kama yy ndo tunaongoza kumponda! Mungu mlinde kijana huyu na familia yake!
 
Back
Top Bottom