Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.
Nitakuwa wa Mwisho kuamini kama Dimondi kanunua huo Mjengo...Hakuna cha kuumbuka ni matter of time tu.Umeumbukaje? He has now paid for the house and the house is now taken off the market.
maskini jeuri huna hata mia mfukonii halafu unaita wenzio malofa
Mwanaume una mambo ya kike hizi habari waachie wanawake..
ACHENI UTIMU KUNUKA,NDIO MAANA WEMA ALIWACHANA NYIE WAFUASI WA TIMU USHUZI...Hivi siku akiamia kwenye hiyo nyumba mtaweka wapi sura zenu?
Muda mwingine unaweza onekana mjonga kwa kuropoka tu
Straight Live Talk(In Le Mutuz Voice) sipindishi maneno,Huo Mjengo ungekuwa wa Mondi Insta yote ingejaa mapicha picha ya Vyumba vyote,Mpaka sasa tumeona picha ya aina moja tu iliyosambaa mtandaoni.Dah king kong umeandika wew ila aibu naona mie huku
[emoji28] dah we bandidu akieka picha zingine utaomba mkataba. Nazid kuona aib bora sikujui mkuuStraight Live Talk(In Le Mutuz Voice) sipindishi maneno,Huo Mjengo ungekuwa wa Mondi Insta yote ingejaa mapicha picha ya Vyumba vyote,Mpaka sasa tumeona picha ya aina moja tu iliyosambaa mtandaoni.
Mkuu wabongo ndo zao full majungu[emoji28] dah we bandidu akieka picha zingine utaomba mkataba. Nazid kuona aib bora sikujui mkuu
Doh..!!!Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.
Teh teh teh mkuu never underestimate your enemyNitakuwa wa Mwisho kuamini kama Dimondi kanunua huo Mjengo...Hakuna cha kuumbuka ni matter of time tu.
Hahaha bado unaukweli?Hahaaa ila mm nachompendea umbea wake uko classic lazima uwe na ukweli
Akikujibu nitag mkuu..!Teh teh teh mkuu never underestimate your enemy
Na ameshakuwa maarufu,afu huwa najiulza mbona huwa hakamatwi maana huwa anaiponda serikali na mkulu wazi waziHivi mange na zari nani mkubwa jamani??haahaha
Jaman mange ana wivu sana pia atakua na roho mbaya yaani yote hayo kisa dai alimuacha wema
Wema mwenyew hanaga time na huyo mange,
Mange analazmisha kua maarufu
ww je umethibitisha upande mwingine?Acha uboya ww kwahyo ushathibitisha,,,, udaku utakuua dada
Masikini poleeNitakuwa wa Mwisho kuamini kama Dimondi kanunua huo Mjengo...Hakuna cha kuumbuka ni matter of time tu.