Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Astaghfiruulah!inahu..........![emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Astaghfiruulah!inahu..........![emoji1]
Yan ni mshamba sanaIla diamond bado mshamba sana msiniulize kwanini
Hivi nyie wanawake mamburula mnapata faida gani kwa kuhangaika na maisha ya watu? Ndo maneno ya wimbo wa Mwana Fa kwamba wanaita wenzao maskini wakati hata hawana hata ka laki. Punguzeni ulimbukeni hangaikeni na familia zenu mjikwamue kwenye umaskiniHabari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba
Source: Mange Kimambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wa......Astaghfiruulah!
Dar![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wa......
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba
Source: Mange Kimambi
Hahaaa ila mm nachompendea umbea wake uko classic lazima uwe na ukweliMambo ya kuuza sura mujini,ila mange mbea jamani na kila siku anatangaza ameacha umbea
Hivi siku akiamia kwenye hiyo nyumba mtaweka wapi sura zenu?Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.
Napenda hata Kesho ahamie TUJUE ukweli wake.Hivi siku akiamia kwenye hiyo nyumba mtaweka wapi sura zenu?
Muda mwingine unaweza onekana mjonga kwa kuropoka tu
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.
Mwanaume una mambo ya kike hizi habari waachie wanawake..Napenda hata Kesho ahamie TUJUE ukweli wake.
Ngoja timu yake ijeHivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.