Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Utata wa nyumba mpya ya Diamond waibuka

Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba

Source: Mange Kimambi
Hivi nyie wanawake mamburula mnapata faida gani kwa kuhangaika na maisha ya watu? Ndo maneno ya wimbo wa Mwana Fa kwamba wanaita wenzao maskini wakati hata hawana hata ka laki. Punguzeni ulimbukeni hangaikeni na familia zenu mjikwamue kwenye umaskini
 
IMG-20160924-WA014.jpg
 
Watanzania tatizo la ushabiki na upinzani bado haujaeleweka ndio maana chuki na wivu wa kijinga hutawala ktk mioyo ya watu
 
Platnum sio mtu wa kujiproud sana. Kama alisema amenunua bhasi ni kweli hanaga majivuno
 
Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba

Source: Mange Kimambi
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.
 
Hivi siku akiamia kwenye hiyo nyumba mtaweka wapi sura zenu?
Muda mwingine unaweza onekana mjonga kwa kuropoka tu
 
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.

maskini jeuri huna hata mia mfukonii halafu unaita wenzio malofa
 
Hivi Mlikuwa mnaamini Diamond anaweza kumiliki huo MJENGO? Diamond ana pesa ya MADAFU tu bado hajafikia HATUA hiyo,Mijengo hiyo ni Level za Kina Mengi,Mo na SI DIMONDI yeye aendelee kuwavua waliochoka wa kijitonyama vibanda vya mili 25 na 20 tu,Mtu mwenye uwezo wa kununua huo mjengo asingeweza kujenga nyumba madale kwenye kiwanja cha hatua 20 kwa hatua 20.
Ngoja timu yake ije

Unamsema vibaya Bilionea???
 
Ndio maana wakenya wanasema diamond wa kwao tunamshambulia utasema sio mtz kwa kip kibaya haswa katukosea dah
 
Back
Top Bottom