CHOTABUSARA
Member
- Feb 6, 2012
- 47
- 48
Source Mange Kimambi halafu unapoteza muda kufikilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mwaya.... ndio keshamiliki sasa, koroga sumu unywe. watu wanamiliki nyumba Marekani itakua SA. Tuondokee hapa...Hao unaowataja wote siwajui ninachoongelea mimi ni fact ya Nassib kuwa na sifa za kumiliki land assert SA.. tusiwe rahisi kudanganyika ..wema alisema anamiliki nyumba na watu wakakubali.. ukweli huwaga haufichiki hata siku moja lazima utakuja juu tu
bahati mbaya hata hujajua naongelea point gani..afadhali nimekugundua ni wa uswazi una uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo sasa tafuta wenye akili wakujibie lile swali langu.. kiazi weweeePole mwaya.... ndio keshamiliki sasa, koroga sumu unywe. watu wanamiliki nyumba Marekani itakua SA. Tuondokee hapa...
uzee sio umri ni mwonekano physically Mange ni mzee sana kuliko Zari Vila kiumri Zari aweza kuwa mkubwaMange kila kitu anajua yeye khaa eti zar mzee sasa yeye na umri alokuwa nao hamfikii zari kwa mafanikio hata kidogo
Hivi ulichokiandika ndio unachokimaanisha kweli, au uko kwenye utani tu ........ Maana siamini kama kweli hizi ni akili zako. Kwamba ni kweli hakuna wasioishi huko ulikokutaja,lakini wana pesa ndefu pengine kuwazidi hata hao wanaoishi huko ........ Yaani ili uwe na pesa ni lazima ukaishi Masaki,O bay,Mbezi,Capri Pointi au Kijenge .........???huhitaji kutumia akili nyingi kutambua kwamba ile nyumba hajanunua DIAMOND bali ni ule utaratibu wa kutafuta kiki tu.. Hapa kwao Bongo kashindwa kujenga au kununua nyumba maeneo ya maana kama Masaki, O- bay, Mbezi Beach, Capri Point au hata kijenge.. Amejenga eneo lisilopimwa kule Mivumoni Wazo Hill tena kwenye mkondo wa mto..
Huju jamaa amekariri maishaHivi ulichokiandika ndio unachokimaanisha kweli, au uko kwenye utani tu ........ Maana siamini kama kweli hizi ni akili zako. Kwamba ni kweli hakuna wasioishi huko ulikokutaja,lakini wana pesa ndefu pengine kuwazidi hata hao wanaoishi huko ........ Yaani ili uwe na pesa ni lazima ukaishi Masaki,O bay,Mbezi,Capri Pointi au Kijenge .........???
nimechukulia kigezo cha super star wa nchi za wenzetu.. kumbe nimekosea ?Hivi ulichokiandika ndio unachokimaanisha kweli, au uko kwenye utani tu ........ Maana siamini kama kweli hizi ni akili zako. Kwamba ni kweli hakuna wasioishi huko ulikokutaja,lakini wana pesa ndefu pengine kuwazidi hata hao wanaoishi huko ........ Yaani ili uwe na pesa ni lazima ukaishi Masaki,O bay,Mbezi,Capri Pointi au Kijenge .........???
Acha kujishushia hadhi kilazima mkuu, kama hupendezwi na hii habari ni bora kujipitia kimya tu hutapungukiwa na kitu,labda uniambie ulikuwa unajaribu kuchalenji watu.nimechukulia kigezo cha super star wa nchi za wenzetu.. kumbe nimekosea ?
sijawahi kuchangia kitu ambacho sikijui.. hoja zangu zipo wazi na wewe nimekuelewa ndio maana nikajirudi kwamba nimekosea kwani mi nilichukulia kwamba super star huko kwa wenzetu hawi muongo na hawezi kuishi mitaa isiyo hata na majina...kumbe kibongo bongo mtu na hela yake anaweza kukaa uswekeni..full stop nimekuelewaAcha kujishushia hadhi kilazima mkuu, kama hupendezwi na hii habari ni bora kujipitia kimya tu hutapungukiwa na kitu,labda uniambie ulikuwa unajaribu kuchalenji watu.
Sababu gani unaandika haya yote juu ya mtu mwingine, ambaye naamini hamuingiliani hata kujuana kwa kupishana barabarani au kuonana mtaani?
Haya ndugu yetu....how does it feel to be a hater? He owns the house, just be happy for him.
Masikini polee
Teh teh teh mkuu never underestimate your enemy
Doh..!!!
Ahahaaaaaah...
Hizi roho mbaya zenu zitakuja kuwaponza siku moja..!
MJENGO WA WEMA ALIONUNUA MILIONI 400.
MJENGO WA WEMA ALIONUNUA MILIONI 400.
Wanaleta Usanii kwenye Jumba la Sanaa.historia ya masupa star uchwara huwaga zinafanana.. uwongo mwingi hawajui kwamba tunajua kuliko wao..mwengine majuzi tu alionyesha nyumba anayojenga kumbe ni ya mama mkwe wake
Diamond kanunua nyumba nyingi dar na tunaona mbona. Ndo imshinde iyo ya sauzi na mnasema huko nyumba rahisi si kama huku. Mkono wako unapoishia si kila mtu unaishia hapo.historia ya masupa star uchwara huwaga zinafanana.. uwongo mwingi hawajui kwamba tunajua kuliko wao..mwengine majuzi tu alionyesha nyumba anayojenga kumbe ni ya mama mkwe wake
ili umiliki nyumba SA lazima uwe na RESIDENT PERMIT ya SA nadhani ya daraja A.. Ambayo kijana wenu hana labda anunue kwa jila la yule dada alizaa nae ambae sidhani kama anayo..Diamond kanunua nyumba nyingi dar na tunaona mbona. Ndo imshinde iyo ya sauzi na mnasema huko nyumba rahisi si kama huku. Mkono wako unapoishia si kila mtu unaishia hapo.
mondi mzee wa makuu kafanya yale baada ya synagogue la Alikiba kuonekana yy kafanya kumkomoa kumbe kajikomoa peke yake alijua hatutajua!Habari zilizo chini ya carpet kuhusu nyumba mpya ya mwanamuziki Diamond iliyopo South Africa zinasema kuwa mjengo huo bado haujalipiwa na uko sokoni. Hivyo si Diamond wala Zari wana umiliki halali wa hiyo nyumba
Source: Mange Kimambi
Una uhakika?? Mbona unaongea kama wewe ni member wa familia yake?ili umiliki nyumba SA lazima uwe na RESIDENT PERMIT ya SA nadhani ya daraja A.. Ambayo kijana wenu hana labda anunue kwa jila la yule dada alizaa nae ambae sidhani kama anayo..
SINAGOGI la Ali Kiba tena..!?mondi mzee wa makuu kafanya yale baada ya synagogue la Alikiba kuonekana yy kafanya kumkomoa kumbe kajikomoa peke yake alijua hatutajua!
Tusiache kumpgia kura Alikiba now wadau wa team good music
Wewe umejuaje kama Diamond haja kidhi vigezo?kaa kijiweni uendelee kusoma udaku.. tunaongea tunayoyajua kwa Sheria za Makaburu kijana Diamond bado hajakidhi vigezo vya kununua nyumba kule labda yule dada aliyezaa nae anaweza kuwa na vigezo