Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

ndio yakina fei toto hayo,kala kande kashiba mala ghafla sina mahaba na yanga,niupuuzi!
 
Siyo huyo tu Kakolanya. Nilisoma gazeti la Mwanaspoti kwamba Simba walipoenda kucheza na Ihefu wakamsajili beki wa kushoto wa Ihefu-Yahya Mbegu kwa sababu walikuwa hawataki kurudi tena baada. Anasubiriwa ligi iishe aende Simba.
 
Replacement nzuri ya Zimbwe hiyo 🤣😂🤣

Kuna kujisahau sehemu kwenye mambo haya au labda timu kubwa ziko juu ya sheria. Nabi pia alionekana akizungumza na mchezaji wa Kagera Sugar baada ya mechi na wengi walisema mazungumzo yale kama yalihusiana na usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…