Reply ya Mbaga Jr
Mbaga Jr said:Ukimuona anavuta hewa ya oksijeni na kutoa kaboni ujue ndo huyo huyo anataka kukukili
Reply ya Intelligent businessman
Intelligent businessman said:Kaangalie the mouse, jamaa alikuwa na character mbili mpaka kuji jua ali pagawa
Reply ya DeepPond
DeepPond said:Serial killer wengi ni Watu WA kupenda misifa,
Kwa namna Moja za nyingin Lazma ataongelea Kwa Watu khs tukio alilolifanya.
Pia kuna namna atavitoa sn kasoro vyombo vya dola vinavyochunguza tukio ili vionekane ni vilaza.
Sawa mkuu.Utamtambua baada ya kukuua
Hata mimi natafuta nondo kutoka kwa wanajukwaa.Kumbe unatuuliza? Nikajua unatupa Nondo!
Kufa na stress jf ni kujitakia tu😂😂Utamtambua baada ya kukuua
Mke uja nimiss kabisaKumbe unatuuliza? Nikajua unatupa Nondo!
Kwa ulivyosema ni kwamba kila mtu anaweza kuwa psychopath au serial killer, au nimeelewa kinyume?Ukimuona anavuta hewa ya oksijeni na kutoa kaboni ujue ndo huyo huyo anataka kukukili
Upo sahihi mkuuKwa ulivyosema ni kwamba kila mtu anaweza kuwa psychopath au serial killer, au nimeelewa kinyume?
Ndo mazara ya movie za usiku usiku hayaHivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa!
Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali. Sasa utatambuaje kwamba mtu aliye karibu yako ni Psychopath au Serial Killer.
Pyschopath ni mtu ambaye ana shida ya kuwa na tabia za hasira (kali), chuki, na kukosa huruma. Inawezekana maana niliyoiweka hapa haijakidhi viwango. Basi nitaweka fasiri ya kimombo.
Psychopath is a person affected by chronic mental disorder with abnormal or violent social behaviour.
Kwa upande wa Serial killer yeye huwa na tabia ya kuua watu na huwa anafanya mauaji ya zaidi ya watu watatu.
Tukiwa kama wanajamii tutajuaje kwamba mtu tuliyekaa nae karibu ni psychopath au Serial Killer ili kujiweka katika usalama?
Naachaje kukumis baba Uswege wangu,unaendeleaje kipenzi!Mke uja nimiss kabisa
Naumwa tu kipnzNaachaje kukumis baba Uswege wangu,unaendeleaje kipenzi!
Nini shida hubby??Naumwa tu kipnz
Sijakuona wala kusikia sauti yako kipnzNini shida hubby??
Umenishtua ujue,nikadhani umepita na jimama huko limekuambukiza visivyofaa🤣🤣🤣🤣🤣Sijakuona wala kusikia sauti yako kipnz