Utatambuaje mtu uliyenaye karibu ni Psychopath au Serial Killer?

Utatambuaje mtu uliyenaye karibu ni Psychopath au Serial Killer?

Pia hao psychopaths na serial killers almost malezi yao ni ya single parent
 
Saba,
Serial killer wengi, kuua kwao uwa ni starehe Kama starehe zingine.

Kama unapenda na kufurahia ngono, na wao upenda na kufurahia vifo vya wengine

Huwa hawajutii au kusikitishwa na walichokifanya wala kuhuzunishwa na majonzi ya wahanga, Hata ulie Hadi kamasi, wao wanachukulia normal TU.
 
Pia hao psychopaths na serial killers almost malezi yao ni ya single parent
Psychopath anaweza. Kua serial killer, ila sio Kila serial killer anawez kua Psychopath

Psychopath wengi Huwa sio intelligent, huua Kwa visasi na mihemko, pia Huwa hawako well organized.

Serial killer wengi Huwa ni intelligent, na Kwa macho ya kawaida, hawapanic na pia huwezi kuwadhania.
 
Mbona km na fit hapa mzee?🤭🤭😎
Tuanze kukaa mbali na wewe 😂, ila wewe huwa una'share' unagoyajua kwenye nyuzi mbalimbali. Ila inaonekana una kisasi kikubwa sana pindi utakapokerwa
 
Tuanze kukaa mbali na wewe 😂, ila wewe huwa una'share' unagoyajua kwenye nyuzi mbalimbali. Ila inaonekana una kisasi kikubwa sana pindi utakapokerwa
Hebu toka.. mimi sina kisasi 🤣🤣🤣
 
Imagine unakuta mtu ni meneja wa tawi let's say la Nmb mahali fulani ,halafu kumbe ni serial killer.. kitambo mpaka mje kufahamu huyu bwana ni muuaji , watu wengi wamekufa
 
Taaluma inayoongoza Kwa kua na serial killers wengi duniani ni NURSING, ikifuatiwa na wataalamu wa vyombo vya dola
 
Tembea dunia nzima,
Hamna serial killer mbaya na MGUMU kumpata, Kama anatokea vyombo vya dola.
 
Watu aina hii ya psychopaths tunaweza kuwaweka kapu moja na akina baltasar Engonga
 
Wanawake ndio jinsia. inayoongooza Kwa kua serial killers wengi duniani.
 
Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa!

Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali. Sasa utatambuaje kwamba mtu aliye karibu yako ni Psychopath au Serial Killer.

Pyschopath ni mtu ambaye ana shida ya kuwa na tabia za hasira (kali), chuki, na kukosa huruma. Inawezekana maana niliyoiweka hapa haijakidhi viwango. Basi nitaweka fasiri ya kimombo.

Psychopath is a person affected by chronic mental disorder with abnormal or violent social behaviour.

Kwa upande wa Serial killer yeye huwa na tabia ya kuua watu na huwa anafanya mauaji ya zaidi ya watu watatu.


Tukiwa kama wanajamii tutajuaje kwamba mtu tuliyekaa nae karibu ni psychopath au Serial Killer ili kujiweka katika usalama?


MICHANGO YA WANAJUKWAA



-




-
-
Hili swali lafaa uwaulize professional

Psychlogist​

 
Tembea dunia nzima,
Hamna serial killer mbaya na MGUMU kumpata, Kama anatokea vyombo vya dola.
Kila nikimwangalia huyu bwana ...macho yake yanaficha na kusema mengi. Anyway kijana ojwang akafa kizembe.
Screenshot_20250723_233659_Google.jpg
 
Watu aina hii ya psychopaths tunaweza kuwaweka kapu moja na akina baltasar Engonga
Baltasar, alikua serial fucker & psychopath,
Kila akifuck lzzm atabeba trophy ya Kavideo, ili akikaangalia ajiiskkiee raha.


.tatz
 
Back
Top Bottom