Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,881
- 8,658
Haoa vibay?Mkuu umeanza kupenzika kwenye uzi wa 'Psychopaths na Serial Killers', au niamini kauli ya Mbaga Jr ? 😂
Nendeni huko PM mkamisiane vizuri 😂
Ahahah siwez kukucheat una jua iloUmenishtua ujue,nikadhani umepita na jimama huko limekuambukiza visivyofaa🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona km na fit hapa mzee?🤭🤭😎Pia serial killers wengi mara nyingi sio watu wa kuongea sana, na hawapendi kuonekana ni wajuzi wa mambo hupenda kujitenga na hawapendi kukaa na mtu mmoja sehem kwa muda mrefu mfano vijiweni...
Psychopath anaweza. Kua serial killer, ila sio Kila serial killer anawez kua PsychopathPia hao psychopaths na serial killers almost malezi yao ni ya single parent
Tuanze kukaa mbali na wewe 😂, ila wewe huwa una'share' unagoyajua kwenye nyuzi mbalimbali. Ila inaonekana una kisasi kikubwa sana pindi utakapokerwaMbona km na fit hapa mzee?🤭🤭😎
Sahii kabisa, serial killer wengi. Ni zao. La single parents.Pia hao psychopaths na serial killers almost malezi yao ni ya single parent
Hebu toka.. mimi sina kisasi 🤣🤣🤣Tuanze kukaa mbali na wewe 😂, ila wewe huwa una'share' unagoyajua kwenye nyuzi mbalimbali. Ila inaonekana una kisasi kikubwa sana pindi utakapokerwa
Ikifikia level hii hakika wew mpaka kaka shetani anakuogopUpo radhi utemee mate K ya demu ili kulipa kisasi 😂 na umwambie, " INANUKA"
Na madaktari.... ikafuatiwa na hawa polisiTaaluma inayoongoza Kwa kua na serial killers wengi duniani ni NURSING.
Hili swali lafaa uwaulize professionalHivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa!
Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali. Sasa utatambuaje kwamba mtu aliye karibu yako ni Psychopath au Serial Killer.
Pyschopath ni mtu ambaye ana shida ya kuwa na tabia za hasira (kali), chuki, na kukosa huruma. Inawezekana maana niliyoiweka hapa haijakidhi viwango. Basi nitaweka fasiri ya kimombo.
Psychopath is a person affected by chronic mental disorder with abnormal or violent social behaviour.
Kwa upande wa Serial killer yeye huwa na tabia ya kuua watu na huwa anafanya mauaji ya zaidi ya watu watatu.
Tukiwa kama wanajamii tutajuaje kwamba mtu tuliyekaa nae karibu ni psychopath au Serial Killer ili kujiweka katika usalama?
MICHANGO YA WANAJUKWAA
-
-
-
Kila nikimwangalia huyu bwana ...macho yake yanaficha na kusema mengi. Anyway kijana ojwang akafa kizembe.Tembea dunia nzima,
Hamna serial killer mbaya na MGUMU kumpata, Kama anatokea vyombo vya dola.
Baltasar, alikua serial fucker & psychopath,Watu aina hii ya psychopaths tunaweza kuwaweka kapu moja na akina baltasar Engonga