BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Mkuu ukiwa mtu wa mpira hata uamshwe usiku wa matisa uonyeshwe hiyo screenshot unajua hizo ni timu ganiNimekuwa napata shida sana kutambua timu zinapokuwa zinacheza kwenye hii League ya Serie A hasa ukiwa haujui wachezaji wa timu hizo na km hautaona line-up. Tumezoea kutambua timu kwa rangi zao kwenye runinga kwa juu kushoto lakini hawa jamaa hizo rangi za kutofautisha hazipo, ni rangi moja tu ya blue.
Mwenye kujua jinsi ya kuzitambua anisaidie. Mfano hapa utajuaj hii ni NAPOLI na hii ni JUVENTUS View attachment 3213939
Ha ha ha ha mimi napata tabu sana kwa kweliMkuu ukiwa mtu wa mpira hata uamshwe usiku wa matisa uonyeshwe hiyo screenshot unajua hizo ni timu gani
Anaepoteza muda uwanhani ha ha ha ha 😄Chini ya ayo majina kuna vidoti vina rangi rangi, izo ndoo jezi walizo vaa.
Au angalia anaepoteza muda uwanjani ndio mshindi.
Anaepoteza muda uwanjani ha ha ha ha 😄Chini ya ayo majina kuna vidoti vina rangi rangi, izo ndoo jezi walizo vaa.
Au angalia anaepoteza muda uwanjani ndio mshindi.
Anaepoteza muda uwanjani ha ha ha ha 😄Chini ya ayo majina kuna vidoti vina rangi rangi, izo ndoo jezi walizo vaa.
Au angalia anaepoteza muda uwanjani ndio mshindi.
Kweli haujakosea, ingawa naupendaya bluu ni Napoli kikawaida Napoli huvaa bluu akiwa nyumbani
mwamba ww sio mtu wa mpira kabisa
Mfano hapa utajuaj mkuuHa ha ha ha mimi napata tabu sana kwa kweli
Hiyo dosari nilishaiona hata mimi kwa Seria A. Kwenye ligi nyingine wanaweka rangi kwenye kila upande wa matokeo katika timuNimekuwa napata shida sana kutambua timu zinapokuwa zinacheza kwenye hii League ya Serie A hasa ukiwa haujui wachezaji wa timu hizo na km hautaona line-up. Tumezoea kutambua timu kwa rangi zao kwenye runinga kwa juu kushoto lakini hawa jamaa hizo rangi za kutofautisha hazipo, ni rangi moja tu ya blue.
Mwenye kujua jinsi ya kuzitambua anisaidie. Mfano hapa utajuaj hii ni NAPOLI na hii ni JUVENTUS View attachment 3213939
Hamaanishi vifupisho vya majina. Anamaanisha ligi zingine wanatofautisha kwa rangi ya jezi walizo vaa wachezaji siku hiyo kwa kuweka rangi hizo chini ya maneno au maneno yenyewd yanakuwa rangi tofauti au maneno yanazungukwa na rangi tofauti ili hata kama sio mtu wa mpira unatambua kwa urahisi.Mkuu ukiwa mtu wa mpira hata uamshwe usiku wa matisa uonyeshwe hiyo screenshot unajua hizo ni timu gani
Serie a wanazingua,hawaweki rangiKifupi wewe sio mtu wa mpira kabisa
Hivyo vidoti doti sio alama ya jezi. Jana Juve walivaa jezi ya rangi nyeupeChini ya ayo majina kuna vidoti vina rangi rangi, izo ndoo jezi walizo vaa.
Au angalia anaepoteza muda uwanjani ndio mshindi.