BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Nimekuwa napata shida sana kutambua timu zinapokuwa zinacheza kwenye hii League ya Serie A hasa ukiwa haujui wachezaji wa timu hizo na km hautaona line-up. Tumezoea kutambua timu kwa rangi zao kwenye runinga kwa juu kushoto lakini hawa jamaa hizo rangi za kutofautisha hazipo, ni rangi moja tu ya blue.
Mwenye kujua jinsi ya kuzitambua anisaidie. Mfano hapa utajuaj hii ni NAPOLI na hii ni JUVENTUS
Mwenye kujua jinsi ya kuzitambua anisaidie. Mfano hapa utajuaj hii ni NAPOLI na hii ni JUVENTUS