Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Wewe hujanielewa mkuu, namaanisha nikiweka petrol lita ishirini kama mbadala pale gas itakapokata niweze kumalizia safar kabla sijaenda kujaza gasLita 20 za gesi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu pata supu hapo upunguze hangover