Utatuzi wa ajali (shoti)za umeme majumbani na mashuleni zinazoua wanafunzi na raia duniani

Utatuzi wa ajali (shoti)za umeme majumbani na mashuleni zinazoua wanafunzi na raia duniani

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Kwanza niwapongeze na kutambua mchango wao waliogundua umeme wa TANESCO na wa sola miaka mingi iliyopita.

Sasa ili kuepuka vifo ni lazima nyumba zetu au mabweni yetu yawe na umeme wa sola na wa TANESCO.

Mchana utatumika umeme wa TANESCO tu, na usiku majumbani na mabwenini utatumika umeme wa sola usio na shoti na itahakikishwa socket breaker inazimwa vizuri kabla ya kulala, ila madarasani utumike umeme wa Tanesco kwa ajili ya kujisomea na kwa kuwa wanafunzi watakuwa macho si rahisi kuzurika.

Kwa taarifa tu sola ya taa 4 na wiring yake haizidi Tsh. laki moja na elfu kumi. Njia hii ni bora na rahisi na gharama nafuu kuliko kufunga mitambo ya gharama na isiyo na hakika na kutumia fire extinguisher.

Natumai UDSM mtanipa tuzo.

Asante
 
Na kwa kuongezea, Sola ya laki nane inawasha Taa zisizopungua kumi, unacheki TV, na kuchaji simu. Baada ya kuanza kutumia Sola, sikutamani tena kuweka umeme, ila niliweka kama nyongeza Tu.
 
Kwanza niwapongeze na kutambua mchango wao waliogundua umeme wa Tanesco na wa sola miaka mingi iliyopita.

Sasa ili kuepuka vifo ni lazima nyumba zetu au mabweni yetu yawe na umeme wa sola na wa Tanesco.

Mchana utatumika umeme wa Tanesco tu, na usiku majumbani na mabwenini utatumika umeme wa sola usio na shoti na itahakikishwa socket breaker inazimwa vizuri kabla ya kulala, ila madarasani utumike umeme wa Tanesco kwa ajili ya kujisomea na kwa kuwa wanafunzi watakuwa macho si rahisi kuzurika.

Kwa taarifa tu sola ya taa 4 na wiring yake haizidi Tsh. laki moja na elfu kumi.
Njia hii ni bora na rahisi na gharama nafuu kuliko kufunga mitambo ya gharama na isiyo na hakika na kutumia fire extinguisher.natumai udsm mtanipa tuzo.

Asante
Mkuu ushauri mzuri ila wengine wanatumia taa za kwenye fensi ambazo ni nyingi sana zaidi ya 50 sasa uwekezaji wa solar kwa taa zaidi ya 50 bei yake sio ya kitoto....Kwa watu wanautumia vyumba viwili au vitatu inafaa.
 
Na kwa kuongezea, Sola ya laki nane inawasha Taa zisizopungua kumi, unacheki TV, na kuchaji simu. Baada ya kuanza kutumia Sola, sikutamani tena kuweka umeme, ila niliweka kama nyongeza Tu.
Sawasawa
 
Mimi nashauri kila nyumba iwe na king'ora juu ya paa ambacho kitakuwa kina sense moshi,short kikiwa connected na fire detector.

King'ora kiwa na taa kubwa kama zile za bandari ili iwe rahisi kinapolia wasamalia wema na taasisi za uokoaji kufanya mchakato wa kutoa msaada.

Kingine tuhakikishe taasisi zote hasa zinazochukua watu wengi serikali iendelee kutilia mkaazo wa wakandarasi wanaofanya wiring wawe ni wale registered na wenye sifa.

Aidha inatakiwa kila anaefanyiwa wiring aombe kibali tanesco kabla ya kuanza kufanya wiring kama utaratibu wa kuomba vibali vya ujenzi.

Natambua kuwepo utaratibu wa kupeleka michoro, lakini bado inabidi serikali iongeze meno.

Aidha serikali na tanesco wakishirikiana na taasisi zingine wafanye utafiti wa kuhusu kufanya wiring kwamba wiring zote zipite ndani ya ukuta badala ya kupitisha juu ya dali tena zikiwa loose. Ambapo ni rahisi kushika moto, na matukio yote ya moto mara nyingi huanzia dalini hasa matukio yanayotokana na short-circuit za umeme.

Vile vile serikali iiepe meno tanesco kuhakikisha jengo lolote na mtu yeyote ahakikishe awe na main switch pamoja na circuit breaker ambazo zinafanya kazi kama kujizima zenyewe pale load inapozidi au short-circuit inapotokea..

Mwishi ni muhimu sasa serikali kuweka utaratibu wa kuhakikisha kila jengo mbele yake kuwe na kisima cha maji, na hili lisimamiwe na idara za maji huku ofisi ya waziri mkuu kitengo cha uokoaji kikipewa meno ya kuwang'ata hawa idara za maji kwa kutojaza maji.

Sio lazima kila jingo lakini hii itasaidia vikosi vya uokoja kutokwenda mbali kufuata majini wao inatakiwa kuja na dawa za kutosha tu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Na kwa kuongezea, Sola ya laki nane inawasha Taa zisizopungua kumi, unacheki TV, na kuchaji simu. Baada ya kuanza kutumia Sola, sikutamani tena kuweka umeme, ila niliweka kama nyongeza Tu.
Ok
 
Na kwa kuongezea, Sola ya laki nane inawasha Taa zisizopungua kumi, unacheki TV, na kuchaji simu. Baada ya kuanza kutumia Sola, sikutamani tena kuweka umeme, ila niliweka kama nyongeza Tu.
Huo nj ukweli nakubali ndugu
 
Back
Top Bottom