GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mada hii imefungwa na hoja ya mdau hapa.Kama wanaishi mazingira magumu sana na uwezo unaweza kuboresha makazi yao ni unatoa sadaka
Jamani😃😃😂Sithubutu Bora tuunganishe nguvu na ndugu zako au nijenge yangu niwape wakae wakichemka waniachie
✅🙏Ndio.
Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba.
Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo.
Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako ni wa mkeo vile vile!
Kama wewe na mkeo ni mwili mmoja, inamaanisha hata na wazazi wenu ni wenu sote.
Wewe una mtazamo gani? Utawajengea wakwe zako nyumba?
Kaka LIKUD njoo kuna mtu anataka kunitoa kwenye mstariKwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba.
Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo.
Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako ni wa mkeo vile vile!
Kama wewe na mkeo ni mwili mmoja, inamaanisha hata na wazazi wenu ni wenu sote.
Wewe una mtazamo gani? Utawajengea wakwe zako nyumba?
Mpaka nimecheka!Kaka LIKUD njoo kuna mtu anataka kunitoa kwenye mstari
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app