Ibrah wa kiwira
Senior Member
- May 17, 2023
- 179
- 167
Katika shughuri zao watainufaisha serikari kuu, ubnafsi utakua katika mambo yasio ya serikari. Inchi yetu ni kubwa. Muundo wa utawala tulionao haufiki kwenye maeneo husika.Nakataa wazo hili, wachaga ni binafsi mno watataka kaskazini yote iwe yao
Kwa kifupi sana, utawala wa majimbo unafanya kazi katika muundo huu. Nchi inagawanywa katika vipande kadhaa vya utawala wa ndani (utawala wa ndani=Wananchi wenyewe kupanga maendeleo+kusimamia rasimali zao).Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo.
Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu.
Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu.
Please tujadili faida na madhara yake humu, NAWASILISHA
Je Kuna mambo yoyote ya kijamii ambayo yanakua ya pamoja kama Taifa? Je kama yapo kama yapo?Kwa kifupi sana, utawala wa majimbo unafanya kazi katika muundo huu. Nchi inagawanywa katika vipande kadhaa vya utawala wa ndani (utawala wa ndani=Wananchi wenyewe kupanga maendeleo+kusimamia rasimali zao).
Wewe ni CHADEMA?? Umeafiki kivipi....yaani umetumia ulinganishi upiJamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo.
ikilinganishwa na wapi au kwa nchi gani kwa kulinganisha. ikilinganishwa na (kwa), Utawala wa nchi gani ambayo imelazimisha maendeleo au kuleta maendeleo kwa watu wake ikilinganishwa na, ikilinganishwa na, kinyume na, kinyume na, wapi?Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu.
Unasingizia CCM hapa! Kuna wana CHADEMA wengi wasioafiki na Utawala huu.....Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu.
Ibrah, Umewasilisha kwa kiupendeleo, kwa hivyo ufunguke kupingwa kwa mtindo huo huoPlease tujadili faida na madhara yake humu, NAWASILISHA
Ni kweli, maendeleo huletwa na watu, lakn watu Hawa lazima wawe organized na wawe ruled na viongozi wazalendo. Viongozi wa MAJIMBO watakua na uchungu na Jimbo lao, zen viongoji watalazimika wawe na vision na mikakati, swala uchaguz wenye sifa za haki na uwazi utakuepo Kwa asilimia walau za kuridhisha.Wewe ni CHADEMA?? Umeafiki kivipi....yaani umetumia ulinganishi upi
ikilinganishwa na wapi au kwa nchi gani kwa kulinganisha. ikilinganishwa na (kwa), Utawala wa nchi gani ambayo imelazimisha maendeleo au kuleta maendeleo kwa watu wake ikilinganishwa na, ikilinganishwa na, kinyume na, kinyume na, wapi?
Je, haya ni matamanio yako au, ni matakwa ya Mbowe?
Unasingizia CCM hapa! Kuna wana CHADEMA wengi wasioafiki na Utawala huu.....
Ibrah, Umewasilisha kwa kiupendeleo, kwa hivyo ufunguke kupingwa kwa mtindo huo huo
Isitoshe haujaonyesha hayo "maendeleo" yatakuwa "forced" vipi.
Kwa kuwa naelewa maendeleo huletwa na watu, huoni itakuwa ni Udikteta kuja ku "Force" maendeleo? kwa kuwalazimisha kuafiki utawala huo? Yaani kwa kuwapigia kura CHADEMA?
Umefanya ulinganishi na wapi? Manake hili sio suala dogo ibrah, kama inavyoonekana, unavyolichukulia.Ni kweli, maendeleo huletwa na watu, lakn watu Hawa lazima wawe organized na wawe ruled na viongozi wazalendo. Viongozi wa MAJIMBO watakua na uchungu na Jimbo lao, zen viongoj watalazimika wawe na vision na mikakati, swala uchaguz wenye sifa za haki na uwazi utakuepo Kwa asilimia walau za kuridhisha.
Inchi yetu ni kubwa, sio rahis Kwa serikari kuaford mahitaji ya kila maeneo
Kuwa organized Kwa upana wa kijimbo,Umefanya ulinganishi na wapi? Manake hili sio suala dogo ibrah, kama inavyoonekana, unavyolichukulia.
Kwa hayo majibu yako, unasema watu hawako organised......hiyo siyo kweli. Tanzania tunaanza kuwa organised kutoka nyumba kumikumi, haya nitajie Nchi yenye majimbo iliyokuwa organised kutoka nyumba kumikumi na kuridhiwa na Serikali?
Narudia, umefanya ulinganishi na wapi? ili niweze kujadili hizo faida za "forced' Development kama ulivyowasilisha.
Kwa uchambuzi wako, hasara zinaweza kudhibitika. Japo ukabila ni jambo ambalo halitakua na kasi mno, tumeoana, wengine wamehamia, na wengine watahama Kutoka eneo moja kwenda lingine,Faida[emoji116]
[emoji117] Kukua kwa miji mipya,
[emoji117] Maendeleo kukua ktk miji na majiji ambayo yanaongoza kuchangia pato la taifa ambalo hapo kabla majiji hayo yalikuwa yakinyonywa mapato ya maeneo hayo kupelekwa kufanya maendeleo sehemu zingine.
Hasara[emoji116]
Kuibuka kwa ukabila, mitengano na chuki za kisiasa baina ya kanda fulani na kanda fulani pia ubaguzi wa kikanda na kibabila.
Kiuhalisia Mfumo wa majimbo kwa nchi za Afrika haufai, maana muafrika ili apate maendeleo ni lazima aishi ktk utamaduni wa Umoja na mshikamano tofauti na hizo nchi mnazoforce tufanane nao, mfumo wa Majimbo HAUFAI ni bora itafutwe namna iliyo bora.
Jimbo litaweka ukomo wa kijeshi, lisije kukua kuliko jeshi la inchi. Na Ethiopia uliyosema, sio jeshi la Jimbo ndo limeleta shida, ni waasi waliotoka sehemu mbalimbaliMfumo wa majimbo kwa nchi zetu ni kutafuta kuigawanya nchi na kupelekea upande mmoja utake kujitoa na kusimama wenyewe. Wengi wamejawa ulafi wa madaraka hapa TZ mtu akiona ana serikali yake ya jimbo na jeshi lake anaweza kukinukisha muda wowote yawe ya Ethiopia
Mzee huu mfumo una faida sana ila kwa Afrika hii hautufai kabisa, najua wanasiasa wanaupigia chapuo sababu utaongeza nafasi nyingi sana za kuchaguliwa lakini gharana kubwa ya uendeshaji itakuwa mara mbili yake. Nadhani unajua wazi wale jamaa miposho yao na mahitaji yao mengine kupitia kodi, fikiria sasa wakizidi zaidi kila jimbo wapo. Ni matumizi kiasi gani?Jimbo litaweka ukomo wa kijeshi, lisije kukua kuliko jeshi la inchi. Na Ethiopia uliyosema, sio jeshi la Jimbo ndo limeleta shida, ni waasi waliotoka sehemu mbalimbali
Sauzi Kuna ukabila mkuu? Mbona wanatumia mfumo wa majimbo na maendeleo yapo juu!!Faida[emoji116]
[emoji117] Kukua kwa miji mipya,
[emoji117] Maendeleo kukua ktk miji na majiji ambayo yanaongoza kuchangia pato la taifa ambalo hapo kabla majiji hayo yalikuwa yakinyonywa mapato ya maeneo hayo kupelekwa kufanya maendeleo sehemu zingine.
Hasara[emoji116]
Kuibuka kwa ukabila, mitengano na chuki za kisiasa baina ya kanda fulani na kanda fulani pia ubaguzi wa kikanda na kibabila.
Kiuhalisia Mfumo wa majimbo kwa nchi za Afrika haufai, maana muafrika ili apate maendeleo ni lazima aishi ktk utamaduni wa Umoja na mshikamano tofauti na hizo nchi mnazoforce tufanane nao, mfumo wa Majimbo HAUFAI ni bora itafutwe namna iliyo bora.
Sio kweli, serikali za majimbo zitapunguza namba ya wabunge kutoka 300+ Hadi 75 pekee.najua wanasiasa wanaupigia chapuo sababu utaongeza nafasi nyingi sana za kuchaguliwa lakini gharana kubwa ya uendeshaji itakuwa mara mbili yake. Nadhani unajua wazi wale jamaa miposho yao na mahitaji yao mengine kupitia kodi, fikiria sasa wakizidi zaidi kila jimbo wapo. Ni matumizi kiasi gani?
Hivi unajua kila jimbo nalo linakuwa na bunge lake dogo.Sio kweli, serikali za majimbo zitapunguza namba ya wabunge kutoka 300+ Hadi 75 pekee.
Kumbuka sahivi Kuna madiwani pia Sasa kwa serikali za majimbo Hawa madiwani ndio wataunda bunge la Jimbo hivyo basi Ina maana nafasi za uongozi zitapunguzwa coz DC, RC na vyeo ambatanishi vitakufa.
Kimsingi ni kwamba halmashauri zilizopo tayari zitaongezewa tu mamlaka ya kujiendesha kwa uhuru. Mbona sijawahi sikia halmashauri zimetangaza kujitenga licha ya kwamba huwa zinakua za eneo Hilo Hilo ila Leo serikali ya Jimbo ndio itajitenga? How?
Kwahiyo sio kweli kwamba serikali ya Jimbo inaongeza gharama au italeta machafuko.