Kenya na Nigeria bado hawajamaliza kuchimba machimo ya Choo japo wana hizo Serikali za MajimboUnafaida nyingi kuliko hasara ,yaani kuchimba Choo cha shule tusubiri amri ya mtu aliyeko MSOGA!!
Ndio madiwani hao hao kata zinapunguzwa tu na majimbo yanapungua. Kuliko sahivi tuna bunge kubwa Bado baraza la wawakilishi Bado baraza la madiwani so unakuta gharama ni kubwa zaidi.Hivi unajua kila jimbo nalo linakuwa na bunge lake dogo,
South Africa Ina majimbo 9 na imetuzidi uchumi mara zaidi ya 5Tutajieni hizo Nchi ukiacha Marekani zilizofanikiwa kwa kuongeza idadi ya vyeo
Sio rahisi kiivo km unavyochukuliaHatuhitaji majimbo ..Sisi tuweke mabaraza ya Maendeleo kila manispaa na tuyape nguvu ya kuajiri na kufukuza wakurugenzi Tu na watu wao...the rest will be history...
Zitaje basiUnafaida nyingi kuliko hasara ,yaani kuchimba Choo cha shule tusubiri amri ya mtu aliyeko MSOGA!!
Simple jeshi linabaki serikali kuu majimbo Ni ishu ya kiuchumi tu.Mzee huu mfumo una faida sana ila kwa Afrika hii hautufai kabisa, najua wanasiasa wanaupigia chapuo sababu utaongeza nafasi nyingi sana za kuchaguliwa lakini gharana kubwa ya uendeshaji itakuwa mara mbili yake. Nadhani unajua wazi wale jamaa miposho yao na mahitaji yao mengine kupitia kodi, fikiria sasa wakizidi zaidi kila jimbo wapo. Ni matumizi kiasi gani?
Achilia mbali hayo machafuko kupitia ubinafsi ambao umewajaa wengi sana kwa kutaka kuimarisha ngome zao za kisiasa na kutaka kuwa na madaraka makubwa. Nakwambia ipo siku utakuja kusikia serikali ya jimbo Morogoro imejitangazia uhuru na inataka itambulike kama nchi
if that is the case, Japan haina majimbo na imeizidi mbali South AfricaSouth Africa Ina majimbo 9 na imetuzidi uchumi mara zaidi ya 5
Nmetolea mfano wa Sauzi sio Japan au US sababu nataka uchumi unaofanana na wa kwetu.if that is the case, Japan haina majimbo na imeizidi mbali South Africa
Utawala wa majimbo utachochea kuongezeka kwa gharama za uendeshaji wa Nchi kama inavyotokea Kenya pamoja na ku promote u maeneo, Ukanda na ukabila
Labda kama wanaotimua wawe sio waTanzania. Unakumbuka baraza la vijana? Tuliambiwa Lita solve changamoto za vijana. Cha ajabu UVCCM ndio wamelihodhi so hakuna mjadala utafanyika bila msimamo wa Dodoma.Hatuhitaji majimbo ..Sisi tuweke mabaraza ya Maendeleo kila manispaa na tuyape nguvu ya kuajiri na kufukuza wakurugenzi Tu na watu wao...the rest will be history...
bado hujajifunza kutoka kwa mwendazake?Jamani, mimi binafsi naanza kuafiki idea ya chadema ya utawala wa kimajimbo.
Inaweza kuforce maendeleo Kwa kasi sana kulingana na ukubwa wa inchi yetu.
Lakini nimekutana na pingamizi, hacha wanaccm hawaafikiani na utawala huu.
Please tujadili faida na madhara yake humu, NAWASILISHA
Kwani mabaraza ya madiwani si mabunge madogo?Hivi unajua kila jimbo nalo linakuwa na bunge lake dogo,
A: Katika mfumo huu, kutakuwa na;Umefanya ulinganishi na wapi? Manake hili sio suala dogo ibrah, kama inavyoonekana, unavyolichukulia.
Kwa hayo majibu yako, unasema watu hawako organised......hiyo siyo kweli. Tanzania tunaanza kuwa organised kutoka nyumba kumikumi, haya nitajie Nchi yenye majimbo iliyokuwa organised kutoka nyumba kumikumi na kuridhiwa na Serikali?
Narudia, umefanya ulinganishi na wapi? ili niweze kujadili hizo faida za "forced' Development kama ulivyowasilisha.
Actually kama Rais ana akili utapata mabaraza independent...yataondoa kabisa mzigo Kwa Rais wa kufukuza na kuangalia Mkurugenzi yupi kaiba hela ... wananchi wenyewe wataaajir ..sifa zitakuwepo ..watafata miongozo na kuajiri wanaemtaka na kumfukuza wakiamuaLabda kama wanaotimua wawe sio waTanzania. Unakumbuka baraza la vijana? Tuliambiwa Lita solve changamoto za vijana. Cha ajabu UVCCM ndio wamelihodhi so hakuna mjadala utafanyika bila msimamo wa Dodoma.
So Hilo baraza la maendeleo sio ajabu ukakuta ni president appointees nao wanafanya kazi kwa kuangalia maoni ya Rais. Unless hayo mabaraza yawe na security of tenure kama CAG kwamba hawatumbuliki.
Natumaini Umejaa Uzima.Katika mfumo huu, kutakuwa na;
Sawa Serikali Kuu itakuwa imewakilishwa. Itakuwa na wajibu upi...Unafikiri CHADEMA Wanataka Wajibu wa Serikali kuu uwe na mamalaka gani na Kwa vyombo vipi?1. Serikali kuu (Central Government).
Provincial Governments zipo, tatizo? Mamlaka?👇2. Serikali za majimbo (Profince/States Government)..
Mbona Wananchi wanajichagulia Madiwani? Mbona Wananchi wanajichagulia wabunge hali kadhalika Wajumbe wa Nyumba kumikumi...n.k n.k.Muhimu ni kuwa, serikali za majimbo zinapaswa kuachwa na kupewa mamlaka kamili ya kikatiba kujiamulia na kujisimamia zenyewe juu ya shughuli za maendeleo yao na kuweka/kujichagulia vi
Kuna mfano wowote ule wa majimbo (nchi yeyote ile)yenye mamlaka yao kujiamlia 100% Je hii ndiyo CHADEMA wanachotaka au ni matamanio yako?serikali za mitaa zenye mamlaka kamili ya kujiamulia mambo yao kwa 100%
Aha, kama kweli CHADEMA wanaafiki ninanukuuKasoro kubwa iliyopo kwa mfumo huu uliopo sasa chini ya CCM ni kuwa, serikali hizi za mitaa chini ya mwavuli wa vijiji/mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa ni kukosa mamlaka ya kujiamulia mambo ya maendeleo yao na namna ya kujichagulia viongozi wao
....huoni tatizo ni la kisheria au kikaanuni tu? Majimbo ya nini kama Sheria au Kanuni zinaweza tatuta kasoro za kujiamlia n.k?utawala wa majimbo ya CHADEMA haina tofauti na sera ya utawala ya CCM inayotumika sasa chini ya mfumo wa serikali za mitaa (local governments).