Utawala mpya wa Syria wainyang'anya Urusi dili la kuchapisha fedha zake, wawapa Ujerumani na UAE

Ukizingatia Trump amempa sharti dogo sana....kuikubali Israel
Tangu aingie madarakani Syria imeacha kuiita Israel jina lao la "Zionist Entity", Badala yake wanaiita "Israel State".

Kule Lebanon Nina Imani kwa kiasi kikubwa ni Watu wa Serikali ndio huwa wanawatonya IDF kuhusu Hezbollah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…